Chadema inapendwa balaa!

Chadema inapendwa balaa!

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Jana nilikuwa katika jimbo la ubungo mahali kijiweni tunapiga story na washkaji. nikawaambia kwanini msifungue tawi la cdm hapa? wakaona wazo zuri. nikatafuta daftari tukaanza kuorodhesha majina. tulizunguka kama nusu saa tukapata wafuasi 125. nikaona cdm tu inakosa organisation ila ina watu. tunatafuta siku ya kuzindua tawi na kugawa kadi tuna mategemeo ya kuwa na zaidi ya members 500
 
we stay tuned ...the only hope for depressed Tanzanians 50 yrs since independence
 
. nikaona cdm tu inakosa organisation ila ina watu.

Hii haiwezekani chini ya uongozi thabiti wa mtu huru mbowe, slaa na wengine wengi, futa msemo wako kwanza.
 
Mabadiliko tunayotaka tutayaleta wenyewe!!Keep it up!!!
 
CDM haihitaji kuwa na matawi kama ya CCM huo nimfumo ulio pitwa na wakati.........
 
Angalia usije liwa yahe kwa kauli za kizembe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Songa mbele katika kuhamasisha ili ifikapo 2015 tuingie straight white house
 
CDM haihitaji kuwa na matawi kama ya CCM huo nimfumo ulio pitwa na wakati.........

mtazamo wangu tofauti. chama bila grass root support kitaelea tu. huku chini ndio wanajua nani hajajiandikisha, nani hajapiga kuru, nani anafanya nini nk. bila watu huku chini huwezi kushinda
 
CDM haihitaji kuwa na matawi kama ya CCM huo nimfumo ulio pitwa na wakati.........

na ukweli ni kwamba ccm imebaki na karata moja tu ambayo ni organisation. ccm ina wafuasi wachache sana ila inahakikisha wote wanajiandikisha na kupiga kura. cdm tukiweza kupata wanachama hai kama 7M ambao wanahudhuria vikao na kutoa maoni tutashinda. ujue hata sera zinatakiwa ziwe ni mapendekezo kuanzia ngazi za chini
 
Hii haiwezekani chini ya uongozi thabiti wa mtu huru mbowe, slaa na wengine wengi, futa msemo wako kwanza.
acha unazi wewe wacha watu waseme ili viongozi wajirekebishe haswa ukizingatia haya ni maeneo ya Mnyika
 
Ndo chama tawala na kipenzi cha wananchi na hao jamaa wengini ni kwa hisani ya nec!
 
chadema inazidi kuvutia kila rika iringa mjini, hili linajionyesha katika mikutano anayo endelea kuifanya Mbunge msigwa.

nawasilisha.



umati wa wananchi wa mkwawa ukimsikiliza msigwa katika mkutano mkubwa ulio fanyika siku ijumaa.



ikiwa hata bibi wazee walikuepo kumsikiliza msigwa, hii nidhahili kuwa chama kinaungwa mkono na rika zote.
















pamoja nakuwepo kwa mvua iliyo taka kuzuia mkutano, lakini watu walimuomba msigwa aendelee kuhutubia, wengine wakitumia viti kujikinga na mvua kama inavyo onekana katika picha juu.

vijana wakimsikiliza kwamakini Mhe. Msigwa.​
 
Dah!Amakweli safari hii Kamanda Msigwa ameamua...Kila lililo jema mkuu tuko pamoja..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom