CHADEMA Inaongoza nchi Indirectly

hivi inakuwaje jf wanaruhusu mtu anatoa nakala ya rasimu ya katiba ya uongo halafu mods mnaiangalia na ile anapotosha uma sijui tunajenga taifa la namna gani kumbe siku hizi mtu anaweza kuja jf na kuweka bandiko la uongo na ukweli unajulikana halafu kaachwa tu watu kama hawa ndo watasabisha jf ifungiwe.
 

Mkuu subiri tuone kama JF safari hii watachomoka kufungiwa ,hii ni hatari sana.
 
Chadema ndio mlezi wa nchi hii MACCM yameshajizira hayajui wanafanya nini,katiba ni zao la Chadema ile kutoka nje mbele ya Kikwete na mabalozi wote wanaompa aslimia 40 ya bajeti yake alifedheheka akamua aanze na la katiba
 
cdm ni ya watanzania na tanzania ni ya watanzania kwahiyo cdm kuongoza nchi ni hali ya kawaida na ata katiba mpya kuandikwa ni wazo la CDM na siyo chama kingine.
 
A very good analysis.
Usishangae sana kwa sababu akili za magamba ndivyo zilivyo, huwa hawajibu hoja, ila wanakuja na vioja vya kutuhamisha kwenye mada. Fuatilia majibu ya akina 'thatha' na wenzake hapo juu, ndivyo uwezo wao wa kufikiri ulipokomea.
 

Na CDM walipokuwa wanasafiri kwa Helikopta kwenye kampeni CCM waliponda sana, walipogundua kumbe CCM inakula kwao fasta wakaiga.
 
Kuna mengi sana waliyoiga ccm toka cdm ila cdm as cdm hawajawahi iga kitu cha ccm na hili ndilo linalowafanya cdm wawe tofauti na vyama vingine,japo Dr slaa na mh mbowe kwa nyakati tofauti wamesikika wakisema kuiga sio vibaya kikubwa hayo mambo yatekelezwe kwa niamba ya wananchi wote bila kujali itikadi zetu.i salute them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…