CHADEMA inanuka

Mechekaàaaaaaaa, hapana aoge na maji mengi na afue nguo zote, akichamba hatatakata.
 
Usafi wa nyumba ya jirani ni nini. Si hadi ilikosa mtu ikabidi wampe mwendawazimu kijiti na kazi yake tunaiona. Taja mafanikio yake.
Ndege sita.mafisadi kwishney. Nidhamu. Mitadi kama bombs la mafuta kutoka Uganda mpaka tanga. Standard gauge. Flyovers. Miradi mikubwa kama kiwanda cha sukari kibaha. Kutoa pesa mikono mwa nyie wachache wezi na kuweka kwenye miradi mbalimbali ikiwemo train ya umeme inayotarajia kuanzia dar had Moro. Etc.
 
Chadema inanuka Mila CCM inanimate zaidi
 
Labda Lowassa akiwa mwenyekiti wa chama na wema akiwa mwenyekiti wa BAWACHA watakinyoosha chama.
 
Unamzungumzia daudi au paulo

Ova
 
Wauza sembe na wapambe wao utawajua tu
 
Wakati mnatoa ile list of shame mkamtaja kua mzee Lowasa ni FISADI,ni mahakama gani ilimuhukumu mzee wa watu mpaka mkantangaza nchi nzima ni fisadi,hebu tuanzie hapo kwanza
 

kwani Tanzania Daima ni Gazeti la chama cha chadema au mmiliki wake ni mwanachama wa chadema?
 
MAKONDA ANASEMWA KWA UTARATIBU ALIOUTUMIA WA KUITA WATU POLISI.
UKIONA MTU ANAMCHUKIA MAKONDA KINYUME NA HAPO TAMBUA NI JIWE LIMEMPATA GIZANI.
 
Ile dua haikuvuka ata paa!
Akashindwa kuvua viatu na walio mwombea ni wanafiki tu,kwanini wasimwambie kweli?

Huyo sijui ndio Dereva wenu anafanya usanii vitu vya msingi,inshu ya madawa sio ya kisiasa na chuki binafsi.

Ana diliki kuwaita watu wahusika wa madawa afu ushahidi anaenda kuutafuta baada ya siku kadhaa watuhumiwa kujipeleka Central!

Kwahiyo nawewe ulitegemea wakutwe na madawa nyumbani,na aliekutwa na misokoto haingii akilini alishindwa kuficha kabla ya kulipoti central!

Zipo taratibu za kufata kupambana na wauza unga sio kwa kuwa taja kama majina ya walioficha sukari!

In short shemeji yako kakosea aombe radhi alio wachafulia majina kwa sababu anazo zijua yeye!

Anapenda sana kuchafulia watu majina mbele ya media ila sio kuzungumzia tuhumaa za vyeti vyake!

Nilikua napata shida na kiwango chake na zarau kwa mawaziri kumbe..ndo vile tena,

Watanzania tunaunga vita ya madawa ila sio vita ya Dereva wenu na watu alio na chuki nao!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…