johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Mkuu hujajibu swali!Mali zote za CCM ni za serikali! Majengo yamejengwa na serikali, viwanja ni vya serikali, mashamba ni ya serikali nk.
Kwa taarifa yako hakuna mradi hata mmoja wa ccm umetokana na michango ya wana ccm! Hakuna mradi wo wote umeanzishwa kutokana na ruzuku pamoja na kwamba ndiyo chama kinachokomba zaidi ya 70% ya ruzuku yote ya vyama vya siasa!
Mkuu mimi siko Lumumba!Vijana wa Lumumba mmeanza tena eh?
Yaani bila aibu miaka 50!!mko madarakani leo ndio unazungumzia eti UVCCM wana taka kuwekeza hapo eneo la mango garden kweli??na hata hivyo vinavyoitwa eti vitega uchumi vya ccm viko wapi zaidi ya maeneo ya wazi ambayo ki uhalisia sio yao yalitakiwa yasiwe yao!!halafu eti yanatumika kulaza magari nacho chama chakavu kinaina bonge la vitega uchumi!!hahaha!!viwanja vya mipira nyie ni kuchukua pesa tu ikija kwenye ukarabati tabu tu!!!jengo la makao makuu hadi serikali ya CHINA isaidie!!Nipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!
Dilimulaina hapa kazi tuNipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!
Unywe supu mshahara hamjapata miezi 3?Nipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!
We mwanamke utapata tabu sanaChadema wamewekeza sana Wana kiwanda kikubwa mno cha majungu pale makao makuu ya chadema .Kiwanda kinaitwa Majungu Industries limited.Na ndicho kiwanda pekee wanachomiliki.
Mkuu Chadema ina mwaka 26!Yaani bila aibu miaka 50!!mko madarakani leo ndio unazungumzia eti UVCCM wana taka kuwekeza hapo eneo la mango garden kweli??na hata hivyo vinavyoitwa eti vitega uchumi vya ccm viko wapi zaidi ya maeneo ya wazi ambayo ki uhalisia sio yao yalitakiwa yasiwe yao!!halafu eti yanatumika kulaza magari nacho chama chakavu kinaina bonge la vitega uchumi!!hahaha!!viwanja vya mipira nyie ni kuchukua pesa tu ikija kwenye ukarabati tabu tu!!!jengo la makao makuu hadi serikali ya CHINA isaidie!!
Ubunifu je, upo?Chadema hawana uwezo wa kupora mali ya wananchi
Ukitegemea mshahara utasaidiwa mambo mengi mkuu hata na wauza genge, jiongeze!Unywe supu mshahara hamjapata miezi 3?
Ukitegemea mshahara utasaidiwa mambo mengi mkuu hata na wauza genge, jiongeze!
Hahahaha mbavu zangu jamani jamani uwiiiChadema wamewekeza sana Wana kiwanda kikubwa mno cha majungu pale makao makuu ya chadema .Kiwanda kinaitwa Majungu Industries limited.Na ndicho kiwanda pekee wanachomiliki.
Kwani mwanamke amekukosea nini?We mwanamke utapata tabu sana
Watapata wapi nafasi hiyo ya kumiliki au kuwa na wazo la kuanzisha vitega uchumi wakati mnawapiga mabomu kila kukicha?Nipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!