CHADEMA inakubalika sana Biharamulo!! Usipime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA inakubalika sana Biharamulo!! Usipime

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JBravo_Bmlo, Aug 23, 2011.

 1. JBravo_Bmlo

  JBravo_Bmlo Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kulingana na Mapenzi ya WanaBiharamulo, wanazipenda sana sera za CHADEMA hasa ukizingatia ni mambo mangapi ambayo CHADEMA wameyamulika na hivyo kuleta msisimko kwa wananchi na kuwaamsha akili.

  Huu ni Mtizamo wangu na kwa jinsi niyaonavyo mambo hapa Biharamulo, Kuna Mtu mmoja nimekutana naye jana tarehe 22/08/2011, nikawa namuuliza anadhani CHADEMA wana uwezo wa kuiongoza Biharamulo na kuipatia maendeleo yaliyokosa takribani tangu enzi za Mkoloni? Du? Nina hamu sana wala usiulize ya kitu gani!!!
   

  Attached Files:

 2. w

  woyowoyo Senior Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kuwasemea watu.
   
 3. JBravo_Bmlo

  JBravo_Bmlo Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Siwasemei isipokuwa Angalia hata Mbenge wa Biharamulo ni chama gani? na Fuatilia Historia Uone kisiasa Biharamulo imekaaje!!!
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wanafanya vizuri kwa kutambua kwamba mabadiliko yatafanywa na wao
   
Loading...