CHADEMA inakubalika sana Biharamulo!! Usipime

CHADEMA inakubalika sana Biharamulo!! Usipime

JBravo_Bmlo

Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
9
Reaction score
1
Kulingana na Mapenzi ya WanaBiharamulo, wanazipenda sana sera za CHADEMA hasa ukizingatia ni mambo mangapi ambayo CHADEMA wameyamulika na hivyo kuleta msisimko kwa wananchi na kuwaamsha akili.

Huu ni Mtizamo wangu na kwa jinsi niyaonavyo mambo hapa Biharamulo, Kuna Mtu mmoja nimekutana naye jana tarehe 22/08/2011, nikawa namuuliza anadhani CHADEMA wana uwezo wa kuiongoza Biharamulo na kuipatia maendeleo yaliyokosa takribani tangu enzi za Mkoloni? Du? Nina hamu sana wala usiulize ya kitu gani!!!
 

Attachments

  • Mh.Mbowe.JPG
    Mh.Mbowe.JPG
    16.5 KB · Views: 52
  • Mh.Mbassa.JPG
    Mh.Mbassa.JPG
    10.8 KB · Views: 58
Siwasemei isipokuwa Angalia hata Mbenge wa Biharamulo ni chama gani? na Fuatilia Historia Uone kisiasa Biharamulo imekaaje!!!
 
Wanafanya vizuri kwa kutambua kwamba mabadiliko yatafanywa na wao
 
Back
Top Bottom