CHADEMA inajimaliza rasmi kisiasa

Kama wasanii wa nyakati hizo walishindwa,tarajia kuimarika kwao zaidi ya kipindi linguine chochote.
 
Kwa haraka haraka naamini hujui kitu , na napenda kukuonya kwamba ukiendelea kudhani Chadema inajimaliza basi kaa tayari kumalizika wewe mwenyewe , waangalie wenzio waliko hivi sasa
Kamuonye mwanao nyumbani.

Kwa hiyo mnawafanya nini wanaokujadilini?
 
Unaenda kufanya uchaguzi wa nini wakati matokeo yanajulikana
 
iko fresh 2025 with katiBa mpya
 
Inajimalizaje tena wakati mwaka juzi mlisema imekufa!
 
Cdm kina mimba inayowafanya wawe na tabia ya kuzirazira, hiyo mimba ikitolewa wataacha hizi tabia
 
Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?

Au anafikiri Rais Samia anatekeleza ilani ya Chadema?

Hii jamhuri ya twita inasikitisha sana
 
Cdm kina mimba inayowafanya wawe na tabia ya kuzirazira, hiyo mimba ikitolewa wataacha hizi tabia
Uchaguzi uliopita ccm waliingia na kura zilizopigwa tayari. Zote zikimpa ushindi yule marehemu. Pale ofisi za ccm kinondoni watoto waliitwa na kupewa makaratasi ya kura wakampigia magufuli na wagombea wote wa ccm. Waliahidiwa kupewa shng 5000 Ambzo hawajapewa.
Wasimamizi wa uchaguzi walifungua Vituo saa 9 usiku kukipigia Kira za ndiyo ccm .
Kilichotokea baada ya miezi mine baadae tunamshukuru mungu kwa kila jambo.
Wewe ndiyo una mimba ya ubongo mkuu. Kama unaamini uchaguzi ule ulikuwa huru na wa haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…