Bado tu unateseka!Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Kwa ushenzi uliofanywa na waliosimamia uchaguzi mkuu uliopita unategemea chama chochote makini kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na washenzi wale wale? Nyie endelezeni tu siasa zenu za kishenzi, sisi tunawaangalia tuone mwisho wenu utakavyokuwa wa aibu.Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Kuna mtu alijiapiza anaiua chadema na hadi mwaka wa kuiua aliutaja. Cha ajabu hata ubunge alikosa. Nakusalimia Babu Tyson....Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.

Freeman Mbowe ni kada wa CCM aliyepewa kazi kuiongoza Chadema.Hawataelewa leo.....Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Hahahaaa kwa hiyo sasa siyo kama anang'ang'ania uenyekiti? Safi sana naona unamkubali Chairman kimya kimyaFreeman Mbowe ni kada wa CCM aliyepewa kazi kuiongoza Chadema.Hawataelewa leo.....
Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Michakato ya kisiasa siyo uchaguzi kugombania udiwani,ubunge au urais bali ni pamoja na kuwa na taasisi huru isiyoingiliwa na upande wowote mfano.Chama tawala,msajili wa vyama vya siasa,vyombo vya ulinzi na usalama,wakuregenzi,bunge,serikali,nk.Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Ya chadema hachana nayo pambana kwani chadema ikijimaliza wewe wapata shida gani,Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.
""Chadema kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe." Mhe. Benson Kigaila"
Kususa huku wasidhani ndiyo wanaimarisha demokrasia bali wanajipoteza kwenye ramani ya siasa.
Chama cha siasa kutoshiriki michakato ya kisiasa kwa makusudi inaashiria kwamba kimeamua kujiengua kutoka kwenye siasa kwa utaratibu wa kususia.
Kama walishiriki uchaguzi mkuu 2020 ni wazi sasa wameamua kufanya mambo mengine nje ya mstari wa demokrasia lakini kwa malengo yale yale kutwaa dola.
Nikikumbuka msimamo wa CHADEMA wakati wa sakata la majahili ya Kibiti ambapo viongozi wake na wabunge waliongea innfavor ya wauaji. Godbless Lema, John Mnyika na viongozi wengine walisimama bungeni na kusema wazi kwamba uwezekano wa mauaji yale kuendelea nchini au maeneo mengi upo kwa sababu HAKI IMEPOTEA NCHINI.... mpaka leo natafakari kama walizungumza hayo kwa kuwasilisha thinktank ya chama chao au waliamua kuongea binafsi. Ingawa hakuna mahala popote CHADEMA kukanusha au kukemea matamko yale. Ninachofahamu ni kwamba the big loss inayoombolezwa na CHADEMA kule Kibiti ni kupotea kwa ndugu yetu Azory Gwanda ambapo mpaka leo hajulikani yu wapi. Lakini hautakaa usikie CHADEMA ikielezea maisha ya Watanzania wengine yaliyokatishwa kikatili na magaidi wale wa Rifiji Kibiti.
Swali la kujiuliza, endapo CHADEMA inajiondoa kwenye siasa za wazi, wanajiandaa kufanya siasa za aina gani?
Viongozi wake wakuu wapo nje ya nchi na wapo kimya sana ambapo inaonyesha kuna jambo wanalipanga au wanatarajia kulipanga kama mbadsla wa siasa za wazi.
View attachment 1741976
Wizi wa kura ni sawa na wizi wa mitihani. Chadema hatuwezi kushiriki hiyo dhambi.Chama cha Demokrasia na Maendeleo juzi kimetoa tamko la kutoshirki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe utakaofanyika kujaza nafasi ya mbunge wake aliyefariki.