ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Watia huruma kwa kummiss Wema. Usipate ugonjwa wa moyo bure, mfuate tu.Kuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!
Watia huruma kwa kummiss Wema. Usipate ugonjwa wa moyo bure, mfuate tu.
Yaaani umeua, lumumba kuna njaa kali, makada wanalia sanaKagoma kuidhinisha posho za watu wake kuzunguka huko na huko ili kujibu mashambulizi. Eti kuna haja gani wakati mapolisi wapo
ccm haipo madarakani kwasababu ya kupendwa bali ni kwa sababu ina dola, kama ni uzuri au abaya, ccm na wapinzani wooote ni hopeless.Tunaipenda CCM sio kwa Ubora au utendaji wake Bali kwa udhaifu wa Wapinzani
Na inasemekana Chadema inaendelea kuwavutia kasi wasanii wengine wengi na lengo lao kuu wanavyoipotezea serikali pesa kufikia 2019 haitakuwa na uwezo wa kifedha so na Chadema muda huo wakifanya usajili wa mwisho wa Diamond Platinum asubuhi saa 3 siku ya uchaguzi wanahesabu ushindiKuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!
Kwa mwelekeo tulioamua kuchukua, Kenya, Rwanda na Uganda zitatuacha kwa mbali sana kimaendeleo!!Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.
1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.
2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.
3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.
4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.
Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.
Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
UMEACHA MOJA- LEMA ANAKULA BURE KISONGOSerikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.
1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.
2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.
3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.
4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.
Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.
Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Fatilia nchi zote zenye machafuko kisiasa,, uje na jibu kuhusu Upinzan umehusika asilimia ngap?? Mtu aliyebarehe huitwa mtu mzima,, ila ukomavu wake hutofautianaSerikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.
1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.
2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.
3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.
4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.
Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.
Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
View attachment 474375View attachment 474376View attachment 474377
Baada ya kusikia lowassa Leo anatia timu uwanja wa taifa.. haaaaa
Kuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!