wamekua midoli ya chademaIntelligence inatuambia knowing an existence of a problem is one step ahead of solving the problem. Wameshawajua jinsi walivyo empty headed kwahiyo wanawachezea watakavyo. Huree the great strategist of cdm
Sasa hivi kaja na dili la mazoezi#1 inanikumbusha mpk malaika mdogo nae akaleta program ya kupanda miti kisa ukuta, FFU kufanya mazoezi kuliko kawaida nk nk
Kina power irandaChadema siku zote wanatumia zaidi Akili,Wenzao siku zote wanatumia Nguvu!!!
Daaaa aiseee mkuu umenifurahisha!wamekua midoli ya chadema
Cc:LizaboniCcm kimeo
Mani ahangaike na chama kilichojifia kimebaki kinasubilia makapi ya ccm. Subilini 2020 mtakabobakiwa na wabunge watatu bungeni ndo mtajua wananchi wamewachoka kwa matusi na maigizo yenu. Hamjajifunza tu 23/1Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.
1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.
2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.
3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.
4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.
Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.
Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Ccm ni vimeoWana macho ila hawaoni. Wana maskio ila hawasikii. Ndivyo walivyo CCM!
hahahaaaaa.View attachment 474375View attachment 474376View attachment 474377
Baada ya kusikia lowassa Leo anatia timu uwanja wa taifa.. haaaaa
Nani kakushika mkono?Hapo tunajenga viwanda bwana,ebu tuacheni mnatuchelewesha.
Tutegemee hilo tamko very soon kutoka kwa Daudchadema hasa bavicha wanatakiwa waripoti central kwa tabia yao hii mbaya ya kuhangaisha wanaume wazima usiku na mchana.. haaaa
Sukari hadi leo ni zaidi ya 2300Sasa nimeamini ngada imeadika na bhange imepanda bei