ccm IPI unazungimzia, ccm ilikua ya kina nape, mwigulu, kinana, na yule mzee wa njombe. ccm ya makonda na polepole lazima ife...Usiloiju ccm wanfitna sana na hamjazibaini bado,,mnachukulia juu juu ila ccm wanaanzisha janga nanyi bila kujua kichwa kichwa mnaingia.. Hapo ndio mnapigwa bao
Wewe jamaa ni mkali sanaSerikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.
1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.
2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.
3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.
4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.
Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.
Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Tena ganzi ya akiliUnaowashauri wamepigwa ganzi hawasikii wala hawaoni hatari iliyo mbele yao.
Inawezekana ndio kutekeleza ahadiCCM waache kuhangaika na CHADEMA nchi mbona itatulia tatizo ni hao CCM kuhangaika na Chadema
Hatima yao ni hii hapaTena mbaya zaidi CCM wamechonganishwa bila kujua, na sasa wamehitilafiana wao kwa wao.
Sisi waungwana tunasubiri kuiona hatima yao!
Unaikumbuka hii?Umenikumbusha wakati wa J.K aliwatuma Nape na Kinana nao watoke wakajibu siasa za chadema majukwaani. Lakini yeye hajui siasa anatumia nguvu za dola
Ccm wanapelekeshwa hivyo hawajitambuikwa mwendo huu hadi 2020 kila mwananchi atakua mwanachadema.. haaa
Hao hawana mapenzi ya ccm bali ni njaa tuIsipokuwa Lizaboni, Ruttashobya na wapuuzi wachache wa aina yao.
Umeiona hii ya leo Taifa??Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.
1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.
2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.
3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.
4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.
Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.
Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Huyu jamaa ni kiboko ya maccmView attachment 474375View attachment 474376View attachment 474377
Baada ya kusikia lowassa Leo anatia timu uwanja wa taifa.. haaaaa
Too much weedKuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!
Big issue ni je, kutakuwa na fair play?Kuna kaniambia Chadema wamejumlisha kura za Lowassa Million Sita na za Followers 2.8 Million za Wema sasa wanashangilia ushindi wa 2020!
Intelligence inatuambia knowing an existence of a problem is one step ahead of solving the problem. Wameshawajua jinsi walivyo empty headed kwahiyo wanawachezea watakavyo. Huree the great strategist of cdmSerikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.