CHADEMA inaimarika na inasonga mbele


Utetezi huu wa kipumbavu,hautawaokoa hivi unadhani ccm,haina watu ktk wapya mnotaka waandikishwe,,naporojo nyingi kwenu bila kujua uimara wa ccm
 

Usitegemee kurekebishwa daftari la wapiga kura. CCM si wendawazimu kuruhusu hilo lifanyike.
 
Ushauri wangu kw cdm waachane na habar ya chopa..garama hzo wangeanzisha hata kituo cha tv na radio ilikutoa elimu zaid
 

Kalikiti (marikiti) usilazimishe hoja ya zitto. Huyu hana impact kama unavyodanganya hapa. Mbona jimboni kwake ameendelea kupoteza madiwani mwaka hadi mwaka. Angeanzia huko kuleta mabadiliko.

Kimahesabu, chadema imefanikiwa kiasi chake huko kalenga. Usibeze mafanikio hayo
 
Huyu mama ameigharimu chadema, ,au chadema ndio wamemgharimu huyu mama??. . .Yani wakati akiwa pekeyake(ama na viongozi wasio na umaarufu sana), ,alipata kura 13,000, , ,tena nafikiri bila chopa(pengine wakiwa na baiskeli tu). . .Leo pamoja na umaarufu(wa viongozi na chama),kuleta mamluki kutoka Mbeya na maeneo mengine, , ,chopa(sijui hata kama aliipanda)amepata kura 5,800 tuu????

Kweli chadema wana GUNDU. . .Mama wa watu angelijua angegombea kwa chama chake kilekile cha zamani
 
Mkuu asante kwa a very funny sense of humour!!!
CHADEMA inasonga mbele kwa kushindwa katika kila wanachojaribu, kudos!:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Hapana watajiandikisha na wa CCM, ila CDM tunajua watu wengi ambao ni wapenzi wetu ndio hawajaandikishwa ! Anyway cha muhimu waandikishwe na hapo ndio ukweli na uhalisia wa matokeo ya uchaguzi utaonekana !

Ni hivi, daftari liboreshwe kila uchaguzi unapojitokeza, kwa mfano sasa hivi uchaguzi wa chalinze ufanyike mara tu baada ya kuboresha daftari siyo tena kutumia lilelile la mwaka 2010. Hapo ndiyo tutaona mpampano halisi na kuondoa kabisa huu ubishani wa nani zaidi baada ya maboresho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…