Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 408
- 182
pamekuwa na maneno mengi sana kuhusu chama cha chadema kinavyoendesha shughuli zake. Tunawaomba wenye mapenzi ya dhati na chama chetu mtuambie chochote ambacho si kizuri kwa maendeleo ya chama NA NINI TUFANYE ILI CHAMA KIZIDI KUWA IMARA ILI IFIKAPO 2015 KISHIKE DOLA KWANI UWEZO NA NIA KINAYO. PEOPLE'S POWER FOREVER