CHADEMA inaendeshwa kama 'nyumba ya maombezi?'

Lazima tupingane na ukweli, ww kwa akili zako.
Utatoaje ajira 35,000 kwa wahitimu wa 2015/2016?
Tatizo ufisadi utakimaliza chama chako. Majigambo mengi utendaji kazi 0
halafu mnasema CCM ya wanyonge. PUUUUUUUUUUU
Hakuna nchi duniani inaajiri wahitimu wote wa chuo kikuu,kuwa mbunifu.
 
Unajua kuna watu walitimuliwa chadema na bado wanaiota kila siku

Basi angalau pata muda wa kumuhudumia mume wako kuliko kuiwaza chadema kila siku
 
CHADEMA sasa haileweki ni chama cha siasa au 'nyumba ya ibada', kwani imekuwa ni kimbilio la 'wapigaji'. Mbowe alipotakiwa na kuhama NHC walizua mjadala mzito kuwa anaonewa, wengine wakisema anadhulumiwa nyumba ya urithi alioachiwa na Babake. Sumaye alipotaifishiwa mashamba kwa kushindwa kukidhi matakwa ya sharia walimiminika kumtetea na kulaani.

Ajizi nyumba ya njaa, Manji naye kaamriwa na Mahakama kuondoka kwenye nyumba ya PSPF kwa kushindwa kulipa kodi ya zaidi ya Bil.13 wanamiminika wakidai kuwa serikali inauwa wafanyabiashara....eti..'sasa kampuni tano zikiondoshwa hao waajiriwa waende wapi?', ghafla huruma imewajaa, wao hawaoni huruma mabilioni ya wastaafu yanaliwa, wazee wetu wanachelewa kupata malipo yao kwa ujanja ujanja. Ni dhahiri sasa hata Manji akiamua kujiunga na CHADEMA atafutiwa dhambi zake, hii ni balaa.
Waasisi wa chadema kwa hakika hawakua watetezi wa maslahi mapana ya umma. CDM imeweza kutunza uasili wake kwa kuhakikisha nani anakua kiongozi wake mkuu. Hichi ni chama cha kutetea maslahi ya mabepari uchwara. Mabepari uchwara bila kudhibitiwa na umma wanaweza hata kuiuza nchi wapate hela. Kwa hivyo utaona wanatetea maslahi ya watu binafsi dhulumati dhidi ya maslahi ya umma.
 
Hakuna nchi duniani inaajiri wahitimu wote wa chuo kikuu,kuwa mbunifu.
Ww jamaa siyo mzima kbsa. Utakuwa mfuta vumbi wa meza za lumumba au mpishi kwenye yale magazeti yenu.
Maana hujui ninachozungumzia? Kwani mwenyekiti wenu alisimamisha ajira za watu gani?
Usitake kujitoa ufahamu km mwenyekiti wenu.
Hiyo miezi bado hajaisha tu?
 
ndio manaa yule mchungaji mapicha picha for real alikuwa bega kwa bega na wapigaji wa ufipa..
 
Waasisi wa chadema kwa hakika hawakua watetezi wa maslahi mapana ya umma. CDM imeweza kutunza uasili wake kwa kuhakikisha nani anakua kiongozi wake mkuu. Hichi ni chama cha kutetea maslahi ya mabepari uchwara. Mabepari uchwara bila kudhibitiwa na umma wanaweza hata kuiuza nchi wapate hela. Kwa hivyo utaona wanatetea maslahi ya watu binafsi dhulumati dhidi ya maslahi ya umma.
Hakika.
 
Ww jamaa siyo mzima kbsa. Utakuwa mfuta vumbi wa meza za lumumba au mpishi kwenye yale magazeti yenu.
Maana hujui ninachozungumzia? Kwani mwenyekiti wenu alisimamisha ajira za watu gani?
Usitake kujitoa ufahamu km mwenyekiti wenu.
Hiyo miezi bado hajaisha tu?
wewe utakuwa 'jipu' au mfadhili wako 'jipu'.Simama uhesabiwe kwanza.
 
CHADEMA sasa haileweki ni chama cha siasa au 'nyumba ya ibada', kwani imekuwa ni kimbilio la 'wapigaji'. Mbowe alipotakiwa na kuhama NHC walizua mjadala mzito kuwa anaonewa, wengine wakisema anadhulumiwa nyumba ya urithi alioachiwa na Babake. Sumaye alipotaifishiwa mashamba kwa kushindwa kukidhi matakwa ya sharia walimiminika kumtetea na kulaani.

Ajizi nyumba ya njaa, Manji naye kaamriwa na Mahakama kuondoka kwenye nyumba ya PSPF kwa kushindwa kulipa kodi ya zaidi ya Bil.13 wanamiminika wakidai kuwa serikali inauwa wafanyabiashara....eti..'sasa kampuni tano zikiondoshwa hao waajiriwa waende wapi?', ghafla huruma imewajaa, wao hawaoni huruma mabilioni ya wastaafu yanaliwa, wazee wetu wanachelewa kupata malipo yao kwa ujanja ujanja. Ni dhahiri sasa hata Manji akiamua kujiunga na CHADEMA atafutiwa dhambi zake, hii ni balaa.
Usipende kufanaya kila kitu siasa ndugu yangu, ebu jitahidini kufikilia kabla haujaandika ujuha. CDM inahisika vipi na PSPF, na je Manji anahusika vipi CDM, usipende kutaka watu wagombane wewe ndio ufurahie. Hivi kuna kodi ya bil 13, mtu anaweza kudaiwa kama kodi? Au ni mchezo wa kuigiza, usikulupuke, subili muda utafika kila kitu kitakuwa wazi.
 
wewe utakuwa 'jipu' au mfadhili wako 'jipu'.Simama uhesabiwe kwanza.
Kama nyie Lumumba huwa mnahesabiwa ss huku hatuhesabiwi. Wote tuko vizuri km Lissu.na siyo km yule waziri wenu mlevi, aliyejibu hoja ya Mbowe akaenda chaka. Unakunywa viroba ndiyo unaingia bungeni, pu..mba..fuuu sana
Utakuwa mfuta vumbi tu wa lumumba ww. Siyo bure.
Ndiyo tatizo la kuwa ccm, wanaccm siyo viongozi bora ni bora viongozi wao wanawaza maendeleo ya nchi hii yamekwamisha na upinzani.
HII NDIYO TANZAGIZA, UJINGA MTUPU SANA, CCM IMESHAZEEKA
 
CHADEMA sasa haileweki ni chama cha siasa au 'nyumba ya ibada', kwani imekuwa ni kimbilio la 'wapigaji'. Mbowe alipotakiwa na kuhama NHC walizua mjadala mzito kuwa anaonewa, wengine wakisema anadhulumiwa nyumba ya urithi alioachiwa na Babake. Sumaye alipotaifishiwa mashamba kwa kushindwa kukidhi matakwa ya sharia walimiminika kumtetea na kulaani.

Ajizi nyumba ya njaa, Manji naye kaamriwa na Mahakama kuondoka kwenye nyumba ya PSPF kwa kushindwa kulipa kodi ya zaidi ya Bil.13 wanamiminika wakidai kuwa serikali inauwa wafanyabiashara....eti..'sasa kampuni tano zikiondoshwa hao waajiriwa waende wapi?', ghafla huruma imewajaa, wao hawaoni huruma mabilioni ya wastaafu yanaliwa, wazee wetu wanachelewa kupata malipo yao kwa ujanja ujanja. Ni dhahiri sasa hata Manji akiamua kujiunga na CHADEMA atafutiwa dhambi zake, hii ni balaa.
kwa uzi huu sema tu kwamba umeamua kuipa promo chadema,labda unionyeshe tamko rasmi kutoka chadema lenye maneno hayo uliyoandika hapa.kwanini mnapenda kuipromote chadema indirectly?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom