Arsenal Gunner JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,891 Reaction score 17,718 Jan 22, 2025 #1 Rasmi sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama cha upinzani, tukutane hapa mwezi wa 11. Nina uhakika 100% na wala haina haja ya kubishana sana.
Rasmi sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama cha upinzani, tukutane hapa mwezi wa 11. Nina uhakika 100% na wala haina haja ya kubishana sana.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,650 Reaction score 47,137 Jan 22, 2025 #2 Gunner Shooter said: Rasmi Sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama Cha upinzani tukutane hapa mwezi wa 11 Nina uhakika 100% na Wala Haina haja ya kubishana sana Click to expand... ni kama uchaguzi utakuwa huru, wazi na haki
Gunner Shooter said: Rasmi Sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama Cha upinzani tukutane hapa mwezi wa 11 Nina uhakika 100% na Wala Haina haja ya kubishana sana Click to expand... ni kama uchaguzi utakuwa huru, wazi na haki
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,624 Reaction score 12,203 Jan 22, 2025 #3 Kila mpiga kura aende na mawazo ya mtu aliyepigwa risasi 26 na akapona. Ni mteule wa Mungu, hata kipofu analijua hilo. Chadema hoyeeeeeeeee!!
Kila mpiga kura aende na mawazo ya mtu aliyepigwa risasi 26 na akapona. Ni mteule wa Mungu, hata kipofu analijua hilo. Chadema hoyeeeeeeeee!!