CHADEMA ina Madiwani wangapi nchi nzima?

Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
Hii ni dalili ya kuwanga. Wacha uchawi bwashe.
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
Waandikie NEC watakupa jibu. Au angalia kwenye website yao.

Amandla...
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!

Hii dharau sasa. Yaani unawasanifu CHADEMA walivyohujumiwa na dola kisha unawagonga na RIP Magufuli mwishoni?

Ujue unachochea kampeni ya “Bavicha” kuendelea kumlaani mwendazake kama jini kiongozi.
 
Kwahiyo Chadema mko sawa na Chaumma?
Chadema habari ingine Kaka.
Kizungu wakasema
CHADEMA IS A FORCE TO RECKON WITH
Wanawake wa chadema wakifanya mazoezi tu Kingai anatuma jeshi lake lote kuwakamata. Chadema ikitajwa mahakamani Swila anashikwa na tumbo la kuharisha.
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!

Ingia kwenye tovuti ya NEC utakuta taarifa utakazo. Kama hutokuta ndio ujue tuna tume isiyotekekeza wajibu wake.
 
Yule shetani asingeharibu uchaguzi Leo hii angekuwa hai kabisa.
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
mlitaka mafiga matatu mmepewa . hadi wenyeviti wa vijiji na vitongoji
mmoja ni jambazi huko tambuka reli yombo
mnataka nni tena?
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
Wewe kijana mbonà inakuwa taahira siku hizi? Muulize Magufuli atakupa jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…