Sasa Nani kakwambia Jf ni mahakama? Si uende mahakamani iwapo huridhiki?Hii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)
Inasikitisha sanaa kuona kuwa wale wote waliokataliwa na wanachama waccm wanahamia cdm nakuonekana ni mali kitu. Mazombie yanafurahia kweli kweli kuwa ccm imepoteza watu wake. List hii ilianzia kwa Lembeli na ester. Na kwa shauku kubwa ikaja kwa baba yao lowassa. Sasa Hawa wote kisiasa walikuwa hawana nafasi tena ccm. Lembeli anajua kuwa mgeja angemkata tuu, alikuwa Hana jinsi. Ester anajua alishakuwa mtoto wa kambo. Lowassa yeye tamaaa ya madaraka ilimponza. sasa leo Mahanga naye, baada yakukataliwa na wapiga kura wake huyo cdm na anaonekana mali. Kweli uvamizi huu unamaana yoyote kwenu? Furaha yenu ya hawa MADEKIO ni furaha ya kudumu kweli? Kwa nini wanangoja mpaka wapoteze kura za maoni ndio waje cdm? Kweli leo chama chenu kimekuwa chama cha makapi? Since nyie ni mazombie , tunawasaidia kutafakari haya. Mkitaka majibu pia tutawapa.
Hii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)

Ni lini ccm iliwatakia chadema mema katika siasa za Tanzania mwaka huu lazima suluali ziwashukeHii ni kwa mazombie (wanachama, washabiki, wafuasi, wapenzi)
Inasikitisha sanaa kuona kuwa wale wote waliokataliwa na wanachama waccm wanahamia cdm nakuonekana ni mali kitu. Mazombie yanafurahia kweli kweli kuwa ccm imepoteza watu wake. List hii ilianzia kwa Lembeli na ester. Na kwa shauku kubwa ikaja kwa baba yao lowassa. Sasa Hawa wote kisiasa walikuwa hawana nafasi tena ccm. Lembeli anajua kuwa mgeja angemkata tuu, alikuwa Hana jinsi. Ester anajua alishakuwa mtoto wa kambo. Lowassa yeye tamaaa ya madaraka ilimponza. sasa leo Mahanga naye, baada yakukataliwa na wapiga kura wake huyo cdm na anaonekana mali. Kweli uvamizi huu unamaana yoyote kwenu? Furaha yenu ya hawa MADEKIO ni furaha ya kudumu kweli? Kwa nini wanangoja mpaka wapoteze kura za maoni ndio waje cdm? Kweli leo chama chenu kimekuwa chama cha makapi? Since nyie ni mazombie , tunawasaidia kutafakari haya. Mkitaka majibu pia tutawapa.
Dah! Mkuu, kwani ni Lizaboni tu mwenye mamlaka ya kuandika habari za Lowasa, UKAWA na CHADEMA? Mleta mada ana haki ya kutoa maoni yake. Si mimi Lizaboni tu
Mkuu,tumia lugha ya staha. Na ujitahidi kuandika kwa Kiswahili ili ueleweke vyema
Ni lini ccm iliwatakia chadema mema katika siasa za Tanzania mwaka huu lazima suluali ziwashuke