CHADEMA imeshindwa kujifunza kipigo cha 2010

99% then peoplr will say church party

Umewahi kusikia hadithi za sungura na ndizi baada yakuzikosa? CUF ilivyo kuwa chama kikuu cha upinzani mlianza waislamu, mara wameleta majambia, mara wanataka kuibadili nchi kuwa ya sharia ilipokufa loh, hakuna chama kams CUF, leo wimbo ule ule toka kwa watu wale wale wenye tabia zile zile, acheni kutugawa mnakera
 
mm siipendi CCM ila napenda stategy zao
baada ya kupoteza viti vya ubunge wakatathmini na kuweka azimio la kumsimamisha yoyote alieshinda kura za maoni
tija ilionekana kalenga chalinze
katibu mkuu makamba na aliefatia baada ya kupwaya wakamweka kinana atakuwa chizi asieona jinsi alivofufua ari ya wanachama iliokufa
sasa chadema 2010 ilikumbwa na kashfa kuwa chama
kina udini wakilenga hasa ngazi ya taifa,bavicha,bawacha kulikuwa hakuna good representation ya social classses
ni ajabu jambo hili alifanyiwi kazi 2015 sio mbali
hii itakua vicious cycle. lisemwalo lipo ni methali tu

Hiyo propaganda ya udini ilisha feli,na kwanza nyie waislam ina maana nyie ndiyo kila siku mnaonewa?mbona Mkuu wa kaya amewapendelea sana wakristo hawasemi?na bahati mbaya mnapendelewa majukumu lakini mko empty kabisa vichwani,mnaharibu tu!
 
CHADEMA, Dr Slaa na Mbowe wameithibiti akili yako 24/7. Unawaza CHADEMA, Dr Slaa na Mbowe unapoamka, siku nzima kwenye shughuli zako, unapopanda kitandani na hata kwenye ndoto zako. Angalia usiharibikiwe akili.
 
mkuu aharibikiwe mara ngapi!
 
Hiyo propaganda ya udini ilisha feli,na kwanza nyie waislam ina maana nyie ndiyo kila siku mnaonewa?mbona Mkuu wa kaya amewapendelea sana wakristo hawasemi?na bahati mbaya mnapendelewa majukumu lakini mko empty kabisa vichwani,mnaharibu tu!
ama kweli wewe ni taahira. tangia uhuru mpaka leo hii ninapo-post huu uzi zaidi ya 75% ya wafanyakazi wa umma ni nyinyi na mpaka leo hii zaidi ya miaka 50 tanzania ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani. hivi hamuoni hata aibu? halafu eti mnajiita mmesoma! upuuzi kabisa. hakuna chochote mnacholifanyia taifa hili zaidi ya kulifisadi tu. utakuta jitu kitambi kule kwenye gari ya umma kumbe hovyo kabisa. dhulma dhulma dhulma.......
bora mara 100 hata huyu JK ametujengea mabarabara na mengine mengi katika sekta mbalimbali japokuwa nyinyi ndo mliojaa huko TANROADS na kwengineko mkichakachua barabara kutokufikia viwango na sekta nyingine mbalimbali na baadaye kumtupia lawama Kikwete. hivi huko kwenye nyumba zenu za ibada mnafundishwa kudhulumu?
 
acheni kuudhalilisha uislam nyie waislam njaa ,uislam ni mkubwa kuliko chadema chadema iko Tanzania uislam uko dunia nzima mara nyingine mnaweza fikiri mnapigania usawa kumbe mnaonyesha mlivyo dhaifu katika imani yenu kila mahali ni nyie tu mnaona hamtendewi haki mnanini nyie....hivi huyo Mungu wa uislam mbona hawajazi ujasiri wa kujua mnahaki sawa za kugombea na kuwa na hoja kama watu wa imani nyingine...hata mtu kama anataka kujifunza mazuri ya imani yenu si atachoka jinsi mnavyomfundisha kulalama
Kuna siku nilikusoma umeandika kuwa Lema baba yako nilicheka sana.
 
bavicha uongozi umepatikana 99% christian
bawacha 99%
kamati kuu 99%
wabunge 99%
viti maalum 99%
wakurugenzi 99%
madiwani 99%

then 2015 utarajie ushinde?

Kwani ajabu ni ipi? Serikali ya ccm kuongozwa na mfumo kristu ama 99% ya wakristo CDM? ama hayo matamu kwa wengine? Kwanini mfumo kristu ushinde 2015?

Nitfurahi sana kuona andiko lako lolote kuhusu kutetea hoja hio ya waislam kuliko hii yako.

Mim si mwana siasa lakini nafuatilia sana hoja za mantiki ktk JF na hujibu tu pale ambapo naona hakuna hoja.
 
mkuu huo uongozi wa hawa jamaa utafikiri ni uongozi wa kigango fulani kwenye jimbo fulani. yaani ni full watu wa imani moja. halafu wanatarajia tuwachague. maajabu haya. kwa kifupi chama kukubalika hapa Tanzania na watu wa jamii zote lazima kiwe na wawakilishi kutoka jamii zote. hili tatizo litawatesa sana chadema na CUF. nitasema kweli daima hata kama itawauma na kuja kunitukana humu. ndo maana jaji john tendwa kipindi akiwa bado msajili wa vyama aliwashauri vyama viungane angalau viwe na sura ya kitaifa wakaja na kejeli kibao badala ya kuufanyia kazi ule ushauri.

wakati CUF na chadema wakigawana wapiga kura/wanachama kwe misingi ya dini CCM inachukua nusu nusu kila upande na kujipatia ushindi. na kwa staili hii ccm kuondoka madarakani ni ndoto hata kama watakuja kutuibia hata macho yenu achilia mbali hayo madini na rasilimali zingine wanazoiba huko maporini, majini, vijijini na mijini.

CHAMA NI LAZIMA KIWAKILISHE JAMII ZOTE ZA WATANZANIA KUANZIA DINI ZAO, KABILA ZAO NA KANDA WATOKAKO. lakini sio kujanza wachanga tu au wapemba halafu mnatarajia tuwachugue. mtakuwa wapinzani wa milele.

mm siipendi CCM ila napenda stategy zao
baada ya kupoteza viti vya ubunge wakatathmini na kuweka azimio la kumsimamisha yoyote alieshinda kura za maoni
tija ilionekana kalenga chalinze
katibu mkuu makamba na aliefatia baada ya kupwaya wakamweka kinana atakuwa chizi asieona jinsi alivofufua ari ya wanachama iliokufa
sasa chadema 2010 ilikumbwa na kashfa kuwa chama
kina udini wakilenga hasa ngazi ya taifa,bavicha,bawacha kulikuwa hakuna good representation ya social classses
ni ajabu jambo hili alifanyiwi kazi 2015 sio mbali
hii itakua vicious cycle. lisemwalo lipo ni methali tu
 
CCM imewaletea LIBAKWATA mnahangaika nalo mmelishindwa mmehamia kwa CHADEMA
 
ama kweli wewe ni taahira. tangia uhuru mpaka leo hii ninapo-post huu uzi zaidi ya 75% ya wafanyakazi wa umma ni nyinyi na mpaka leo hii zaidi ya miaka 50 tanzania ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani. hivi hamuoni hata aibu? halafu eti mnajiita mmesoma! upuuzi kabisa. hakuna chochote mnacholifanyia taifa hili zaidi ya kulifisadi tu. utakuta jitu kitambi kule kwenye gari ya umma kumbe hovyo kabisa. dhulma dhulma dhulma.......
bora mara 100 hata huyu JK ametujengea mabarabara na mengine mengi katika sekta mbalimbali japokuwa nyinyi ndo mliojaa huko TANROADS na kwengineko mkichakachua barabara kutokufikia viwango na sekta nyingine mbalimbali na baadaye kumtupia lawama Kikwete. hivi huko kwenye nyumba zenu za ibada mnafundishwa kudhulumu?

well said
 
mkuu huo uongozi wa hawa jamaa utafikiri ni uongozi wa kigango fulani kwenye jimbo fulani. yaani ni full watu wa imani moja. halafu wanatarajia tuwachague. maajabu haya. kwa kifupi chama kukubalika hapa Tanzania na watu wa jamii zote lazima kiwe na wawakilishi kutoka jamii zote. hili tatizo litawatesa sana chadema na CUF. nitasema kweli daima hata kama itawauma na kuja kunitukana humu. ndo maana jaji john tendwa kipindi akiwa bado msajili wa vyama aliwashauri vyama viungane angalau viwe na sura ya kitaifa wakaja na kejeli kibao badala ya kuufanyia kazi ule ushauri.

wakati CUF na chadema wakigawana wapiga kura/wanachama kwe misingi ya dini CCM inachukua nusu nusu kila upande na kujipatia ushindi. na kwa staili hii ccm kuondoka madarakani ni ndoto hata kama watakuja kutuibia hata macho yenu achilia mbali hayo madini na rasilimali zingine wanazoiba huko maporini, majini, vijijini na mijini.

CHAMA NI LAZIMA KIWAKILISHE JAMII ZOTE ZA WATANZANIA KUANZIA DINI ZAO, KABILA ZAO NA KANDA WATOKAKO. lakini sio kujanza wachanga tu au wapemba halafu mnatarajia tuwachugue. mtakuwa wapinzani wa milele.

Sheikh Simba Shaban ambaye mnamwita MUFTI na Sheikh Alhad Salum kutunukiwa UASKOFU wa HESHIMA
 
ama kweli wewe ni taahira. tangia uhuru mpaka leo hii ninapo-post huu uzi zaidi ya 75% ya wafanyakazi wa umma ni nyinyi na mpaka leo hii zaidi ya miaka 50 tanzania ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani. hivi hamuoni hata aibu? halafu eti mnajiita mmesoma! upuuzi kabisa. hakuna chochote mnacholifanyia taifa hili zaidi ya kulifisadi tu. utakuta jitu kitambi kule kwenye gari ya umma kumbe hovyo kabisa. dhulma dhulma dhulma.......
bora mara 100 hata huyu JK ametujengea mabarabara na mengine mengi katika sekta mbalimbali japokuwa nyinyi ndo mliojaa huko TANROADS na kwengineko mkichakachua barabara kutokufikia viwango na sekta nyingine mbalimbali na baadaye kumtupia lawama Kikwete. hivi huko kwenye nyumba zenu za ibada mnafundishwa kudhulumu?

Pambana kuoreform BAKWATA sheikh. Wakristo hutawaweza. Uraishia kujaza mishuzi tu humu jf. Kashindwa Sheikh Karume utaweza wewe mnuka haja tu?
 
Pambana kuoreform BAKWATA sheikh. Wakristo hutawaweza. Uraishia kujaza mishuzi tu humu jf. Kashindwa Sheikh Karume utaweza wewe mnuka haja tu?[/QUOT
subiri boko haram ije utaona bora kumwaga mashuzi kuliko kujiharishia kwa woga
 
Chadema ni sikio la kufa udini ukabila ukanda unakiuwa chama
 
kama waisilam hawajagombea, nafas wapewe tu? hapo si ndo mtasema chama kupeana madaraka lkn vinginevyo uchaguz ulikuwa huru na haki.

anataka wapewe kama kwenye serikali ya JK ... watu hawana uwezo ila mambo ya mwenzetu tu tunabalance ....

N.B: Wako wenye uwezo kwenye nafasi zao ... ila wako wengi ambao hawakustahili kupata nafasi walizo nazo ndani ya serikali ya JK!
 
Back
Top Bottom