assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Mimi siipendi CCM ila napenda stategy zao.Baada ya kupoteza viti vya ubunge wakatathmini na kuweka azimio la kumsimamisha yeyote alieshinda kura za maoni, tija ilionekana Kalenga na Chalinze.
Katibu mkuu Makamba na aliyefuatia baada ya kupwaya wakamweka Kinana. Atakuwa chizi asiyeona jinsi alivofufua ari ya wanachama iliokufa.
Sasa CHADEMA 2010 ilikumbwa na kashfa kuwa chama kina udini wakilenga hasa ngazi ya taifa,BAVICHA,BAWACHA kulikuwa hakuna good representation ya social classses.
Ni ajabu jambo hili halifanyiwi kazi 2015 sio mbali hii itakua vicious cycle.
Lisemwalo lipo ni methali tu.