PreGE2025 Chadema imeshakufa, ilifia hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio kwanza CDM inazaliwa kwa taarifa yako!
 
Kama kungekua na vyama vilivyo hai basi mngeshughulika navyo? CDM ndio chama kinachopambana na vyama vyote 18 +Dola
 
tuna chadema mpya sasa
 
Ilikufa masaa kadhaa kabla hujaifufua na kuifungulia uzi. Mbona hujaisema DP kuwa imeshakufa? Ni sababu ni kweli imekufa so no need to talk about it. Chadema hii iliyokufa inafunguliwa nyuzi kila baada ya masaa kadhaa au dk. Matokeo yake mnaifanya kuwa hai. Huyu Lissu asiyefaa ndo anachukiwa na CCM na hawataki awe Mwenyekiti CDM. ila upendo wao unashangaza wanapopiga na kuteka wanachadema wengine. Yaani leo hii Simba iseme hamtaki GSM kuifadhili Yanga haifai. Na Yanga waamue kuachana na GSM? IT WILL NEVER HAPPEN.
 
Ajabu ni kuwa CHADEMA iliyokufa inawanyima usingizi!
 
Mtakufa ukoo wenu wote, na bado Chadema mtaiacha ikiwa hai.
 
Hata wanaokutuma wanahuzunika jinsi walivyoajiri mtu poyoyo.
Hivi kama CHADEMA imekufa, CCM onahangaika na chama kilichokufa,
TISS, Polisi, mahakama, magereza n.k nao wanahangaika na Chama kilichokufa?.
Basi waachane na chama hiki kilichokufa.
 
Me sio chadema ila Chaka kilichokufa ndio kinawaendesha waserikali hivyo? Ulikuwepo dar leo ? Polisi wamejaa kila sehemu why ? Chama kilichokufa hamtaki watu wake wasikilize kesi ya mtu wao, mistake muwe wenyewe, chama kilichokufa mnakamata waandishi wa habari mnawafukuza wasiripoti kwanini ? What is going on ?
 
Machawa katika harakati za kuwaaminisha wananchi wapinzani hawashindi uchaguzi kutokana na makosa yaliyofanyika 2015 na sio tume mbovu ya uchaguzi.

No Reform, No Election.

Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…