PreGE2025 Chadema imeshakufa, ilifia hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa huzuni kubwa niseme kuwa chama cha CHADEMA ni kama kimeshajifia.

CHADEMA imebaki hasa hasa kwa wanaharakati wa demokrasia tu ila imepoteza kwa kiasi kikubwa uungwaja mkono wa wananchi, huu ni ukweli mchungu.

CHADEMA ILIFIA WAPI?

Kifo cha CHADEMA kilianza kwenye uchaguzi wa 2015 pale walipo mpokea Lowasa kuwa mgombea wao, lile lilikuwa kosa kubwa la kutosha kabisa kuwaua, na bahati mbaya wakaendelea kujipiga risasi wenyewe kipindi cha Magufuli na Magufuli wa udikteta wake akawachimbia kaburi kabisa.

CHADEMA ilipata uungwaji mkono mkubwa wa wananchi kwa vita yake dhidi ya ufisadi na wizi wa rasilimali za nchi, iliwaaminisha waTanzania kuwa hii nchi haitakuwa masikini kama ufisadi ukikomeshwa muda huo huo ikiwatuhumu viongozi kadhaa kuwa ni mafisadi papa na namba moja akiwa Lowasa.

CHADEMA walipo mkubali Lowasa wakalazimika kuachana na ajenda iliyo wapa uungwaji mkono ya ufisadi wakabaki kumsafisha Lowasa.
Baada ya uchaguzi kuisha na Lowasa kurudi CCM wakakosa ujasiri wa kuendelea na hoja ya ufisadi.

Bahati mbaya Magufuli akawa dikteta akawapa hoja mpya ya demokrasia ambayo ndio wanaendelea nayo hadi hivi leo. Bahati mbaya kwao ni kuwa hoja ya demokrasia haina mvuto kwa asilimia kubwa ya watanzania isipokuwa wanasiasa na wanaharakati tu. Mtanzania ambaye hana hata mpango wa kupiga kula ukija na hoja ya NO REFORM NO ELECTION yani unamshawishije? Kwanza nakuona kama unawaza kushika madaraka tu.

CHADEMA ndio ilikuwa tumaini pekee la kuiondoa CCM ila kwa sasa watanzania wameshakata tamaa. Ili CHADEMA ifufuke basi irudi kwenye misingi yake ambayo ni vita dhidi ya ufisadi na ubadhilifu wa mali ya uma.
Ndio kwanza CDM inazaliwa kwa taarifa yako!
 
Kama kungekua na vyama vilivyo hai basi mngeshughulika navyo? CDM ndio chama kinachopambana na vyama vyote 18 +Dola
 
tuna chadema mpya sasa
 
Ilikufa masaa kadhaa kabla hujaifufua na kuifungulia uzi. Mbona hujaisema DP kuwa imeshakufa? Ni sababu ni kweli imekufa so no need to talk about it. Chadema hii iliyokufa inafunguliwa nyuzi kila baada ya masaa kadhaa au dk. Matokeo yake mnaifanya kuwa hai. Huyu Lissu asiyefaa ndo anachukiwa na CCM na hawataki awe Mwenyekiti CDM. ila upendo wao unashangaza wanapopiga na kuteka wanachadema wengine. Yaani leo hii Simba iseme hamtaki GSM kuifadhili Yanga haifai. Na Yanga waamue kuachana na GSM? IT WILL NEVER HAPPEN.
 
Kwa huzuni kubwa niseme kuwa chama cha CHADEMA ni kama kimeshajifia.

CHADEMA imebaki hasa hasa kwa wanaharakati wa demokrasia tu ila imepoteza kwa kiasi kikubwa uungwaja mkono wa wananchi, huu ni ukweli mchungu.

CHADEMA ILIFIA WAPI?

Kifo cha CHADEMA kilianza kwenye uchaguzi wa 2015 pale walipo mpokea Lowasa kuwa mgombea wao, lile lilikuwa kosa kubwa la kutosha kabisa kuwaua, na bahati mbaya wakaendelea kujipiga risasi wenyewe kipindi cha Magufuli na Magufuli wa udikteta wake akawachimbia kaburi kabisa.

CHADEMA ilipata uungwaji mkono mkubwa wa wananchi kwa vita yake dhidi ya ufisadi na wizi wa rasilimali za nchi, iliwaaminisha waTanzania kuwa hii nchi haitakuwa masikini kama ufisadi ukikomeshwa muda huo huo ikiwatuhumu viongozi kadhaa kuwa ni mafisadi papa na namba moja akiwa Lowasa.

CHADEMA walipo mkubali Lowasa wakalazimika kuachana na ajenda iliyo wapa uungwaji mkono ya ufisadi wakabaki kumsafisha Lowasa.
Baada ya uchaguzi kuisha na Lowasa kurudi CCM wakakosa ujasiri wa kuendelea na hoja ya ufisadi.

Bahati mbaya Magufuli akawa dikteta akawapa hoja mpya ya demokrasia ambayo ndio wanaendelea nayo hadi hivi leo. Bahati mbaya kwao ni kuwa hoja ya demokrasia haina mvuto kwa asilimia kubwa ya watanzania isipokuwa wanasiasa na wanaharakati tu. Mtanzania ambaye hana hata mpango wa kupiga kula ukija na hoja ya NO REFORM NO ELECTION yani unamshawishije? Kwanza nakuona kama unawaza kushika madaraka tu.

CHADEMA ndio ilikuwa tumaini pekee la kuiondoa CCM ila kwa sasa watanzania wameshakata tamaa. Ili CHADEMA ifufuke basi irudi kwenye misingi yake ambayo ni vita dhidi ya ufisadi na ubadhilifu wa mali ya uma.
Ajabu ni kuwa CHADEMA iliyokufa inawanyima usingizi!
 
Mtakufa ukoo wenu wote, na bado Chadema mtaiacha ikiwa hai.
 
Hata wanaokutuma wanahuzunika jinsi walivyoajiri mtu poyoyo.
Hivi kama CHADEMA imekufa, CCM onahangaika na chama kilichokufa,
TISS, Polisi, mahakama, magereza n.k nao wanahangaika na Chama kilichokufa?.
Basi waachane na chama hiki kilichokufa.
 
Me sio chadema ila Chaka kilichokufa ndio kinawaendesha waserikali hivyo? Ulikuwepo dar leo ? Polisi wamejaa kila sehemu why ? Chama kilichokufa hamtaki watu wake wasikilize kesi ya mtu wao, mistake muwe wenyewe, chama kilichokufa mnakamata waandishi wa habari mnawafukuza wasiripoti kwanini ? What is going on ?
 
Machawa katika harakati za kuwaaminisha wananchi wapinzani hawashindi uchaguzi kutokana na makosa yaliyofanyika 2015 na sio tume mbovu ya uchaguzi.

No Reform, No Election.

Period.
 
Back
Top Bottom