CHADEMA imekwisha!

Rekebisha sentesi.
Ni chadema au ukawa?
Maana siku hz mnatuchanganya sana.
Mara ukawa inatisha, ooh mara chadema inatisha.
Sa tumshike nani tumuache nani?
 
Dhambi waliyomtendea zitto na wenzake itawatafuna tu kuja kwa ukawa ni njia wanayoitafuta ili cdm ipate huruma ya watz kupitia migongo ya vyama vingine.
 
Mwanza tumesha amka,hatuhitaji Interahamwe CMC hamna chenu huku.Hayo maneno yako wapelekee watu wa Kalenga na Chalinze ambako hakuna minara ya simu,maji ni shida,umeme hakuna,shule hazina madawati wala walimu,barabara ni chokambaya.
 
Really tushasema kama hujui unaongea nini au wat to post kindly try yo nonsense else whea sio jf plz,be a gud listener kama humsikilizi lissu vizuri huezi kumwelewa ndugu
 
Mwanza mmejipanga na nanni?? Jipange na washenzi wenzako ambao hamjui wat ua doing,lakini kwa wale wateule na waelewa huwezi kuwayumbisha, sisi tunaangalia mchango wa lissu duniani wala sio unachokifikiria wewe ok!!! Think beyond unafaa kusaidia wasiojua lakini by the face of it yo a big hypocrite
 
Hujui zitto alifanya nini up to date??? Get serious plz??? Ulitaka zitoo afanyweje xaxa??? He is jaz like any oda normal pason,let the law take its course pia,the truth will eva set us free coz since the immemorial it has bin a trend,wewee hapa unajipoteza mwenyewe??? Zitto wenu na umaarufu wake xaxa yuko wapiiii,akafute kamasi huko kigoma kwao,"" fair comment"
 
naona CDm inawanyima usingizi sana hawa interahamwe! Huku Mwanza tunasubiri uchaguzi tu ufike tuchukue majimbo yote, hatutaki kabakiza hata gamba moja hapa mkoani kwetu! People'zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

CDM ni kama popo. Hajulikani kama popo ni ndege au mnyama.
 

Povu mbona lakutoka kumtetea Lissu ? Lissu ni kama kuku wa kuchora hafai kwa nyama, hawiki, hatagi mayai nk
 
Wakijirekebisha wakatoka kwenye ukawa, mtaacha kupiga mabomu na kuua watu kwenye mikutano yao, mtaacha kuwabambikizia kesi, mtawashitaki wenye wa kwenye list of shame. Mikataba mnayofanya siri mtaiweka hadharani. Ni kweli mko tayari kwa siasa za ushindani bila kutumia jeshi?
 
Lisu ni tatizo kubwa sana kwenye jamii hii ya watanzania anapaswa kulaaniwa na wote wapenda amani na mshikamano.
 
Mabomu atupe Lema na mbowe halafu wasingiziwe wengine we akili yako ipoje bana.
 

Nguvu ya upinzani ipo na itaendelea kuwepo kwa sababu sioni ni namna gani serikali ya CCM imejipanga kujisafisha na kuwaletea watanzania maendeleo yanayotarajiwa. Pengine wapinzani wana matatizo lakini je huyo aliyepo madarakani yuko safi? Kutokuwa safi kwa CCM ndiyo nguvu kubwa itakayoendelea kuwaweka hai wapinzani. Ujanja ujanja wa kuwapandikiza wanaCCM ndani ya vyama vya upinzani itafika mahali itastukiwa na kila mtu na hapo ndo vyama vya upinzani vitakapopata nguvu zaidi. Watu wa kudanganyika kwa kofia, pilau na khanga wanapungua mwaka hadi mwaka
 
Povu mbona lakutoka kumtetea Lissu ? Lissu ni kama kuku wa kuchora hafai kwa nyama, hawiki, hatagi mayai nk

Haya ya kuku yanatoka wapi? Jadili hoja kama huna hoja kaa kimya, hapa jamvini wapo watu wenye heshima zao usifikiri wote ni kama wewe
 
Sisi watanzania tulio wengi tunatanguliza kupenda mtu na sio mchango wake au hoja yake tukubali kwa uamuzi wa kukulupuka pale CDMA ilikosea kama tulivyo kulupuka kuunda ukawa nafikili hata tukiwapa nchi tayari wameshajiunga na boko haram wazee wakae watwambie tulikosea wapi tujirekebishe kabli 2015
 
Hii inaonesha kwamba au Juliana Shonza anatumia ID yako au wewe unatumia ID ya Juliana! sasa jaaribu kusoma mawazo duni ya huyu mjinga mwezio na ulinganishe na haya ya kwako;
 
Mabomu atupe Lema na mbowe halafu wasingiziwe wengine we akili yako ipoje bana.
Polisi wa CCM wanamuogopa Lema? au hawajui? kwanini wewe usipeleke ushahidi? au ndio ile tabia yenu ya kuzua mambo?
 
Mbugi maintarahamwe yanatoka povu kinoma.
 
Pumba tupu,wasaliti hawawezi kuachwa kamwe! Toeni povu sana CDM itazidi kuwaumiza vichwa

wanafikiri CDM ni sawa ccm inayoogopa magamba yake, hasa hilo la Arusha ambalo limemkaba mwenyekiti wao mpaka anakuwa kigeugeu anakosa msimamo kama mkuu wa nchi poleni:A S 103:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…