CHADEMA imekosa Katibu Mkuu Makini

Nyie na sisi nani wambea nyie kutwa nzima mnajaza nyuzi kuijadili Chadema huo ni umama lini umesoma nyuzi zetu kujadili hilo genge lenu la kigaidi?
Umevaa shanga zako kiunoni na chadema digitali yenu?
 
We kweli poyoyo wa mwisho..

Hakuna uhuru wa kujieleza wakati kila siku kina mdee wanaieleza huko tweeter na kwenye majimbo yao mpaka wanatukana.

Hakuna uhuru wa kujieleza wakati kina Heche wanagonga mikutano ya hadhara kanda ya ziwa huko?

Hakuna uhuru wa kujieleza au kufanya mikusanyiko ya kisiasa wakati Aikael mara ya mwisho alifanya mkutano wa hadhara kule HAI akazomewa??

Unataka uhuru gani????

Kina mdude nyagali wana uhuru mpaka wanatukana.
 
Wewe ni kuduuu nyamazaaa
 
Mkishaongea pumba zenu muende mkabadilishe katibu mkuu wa chama..

Msije mkapata kipigo cha mbwa koko mwezi oktoba.
 
Pale palimfaa John Heche...acha kujifanya hujui ukweli.

Mnyika kujiongoza mwenyewe shida....
Chadema wote wanafaa kokote ndio maana wote wanaonunuliwa wanapewa vyeo huko na wanapewa kipaumbele cha kuteuliwa ubunge kwa sababu nyie walamba makalio hamna akili kabisa mnasifia kila kitu
 
Chadema wote wanafaa kokote ndio maana wote wanaonunuliwa wanapewa vyeo huko na wanapewa kipaumbele cha kuteuliwa ubunge kwa sababu nyie walamba makalio hamna akili kabisa mnasifia kila kitu
Walamba makalio ndo wanawaongoza mpaka kesho.

Wanawapangia askari barabarani, wanawalinda usiku mfanye mapenzi na vimada wenu...
 
Walamba makalio ndo wanawaongoza mpaka kesho.

Wanawapangia askari barabarani, wanawalinda usiku mfanye mapenzi na vimada wenu...
Acha kulamba makalio Mkuu kwa ajili tu ya vyeo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…