CHADEMA imekosa Katibu Mkuu Makini

Leta Hoja Mkuu? Dr Slaa ni kweli alikuwa ni strong man na visionary ILA PIA TUKUMBUKE ali -operate katika msimu ambao atmosphere ya kisisasa ilikuwa tofauti sana na atmosphere ya kisisasa ya Makatibu wakuu wenzake waliofuata.
 
Nilipoona umesema Mbowe ni mwenyekiti wa cdm toka 1992, nikajua huu uzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Umempamba sana Dr. Slaa, hebu tuletee uzi uliowahi kumsifia wakati anaitwa padri mzinzi.
 
Dikteta Mbowe?

Aliyemtuliza Lissu na "U-makamu mwenyekiti"???
 
Atmosphere ipi???

Hii ya sasa angekuwepo Dr slaa angepasua anga nakwambia.

Ndo mana kaaminika kuwa balozi wetu.

Atmosphere hii hii ya sasa angekuwepo slaa angetoboa...

Dr slaa asingeshindwa kusimamia maadili ya chama, asingeshindwa chochote...

Tatizo mnatuletea watu dhaifu' kama mnyika na mashinji kwenye post ngumu kama ya "ukatibu mkuu".....

Dr slaa kashabeba mpaka mabox supermarket uko canada...ebooo!
Leta Hoja Mkuu? Dr Slaa ni kweli alikuwa ni strong man na visionary ILA PIA TUKUMBUKE ali -operate katika msimu ambao atmosphere ya kisisasa ilikuwa tofauti sana na atmosphere ya kisisasa ya Makatibu wakuu wenzake waliofuata.
 
Waitara ameshamaliza kazi Tarime Chadema hawapati mbunge hata mmoja.
Uchaguzi huu..ndo watajua kwamba kazi ya siasa sio ya kitoto...

Sio kama kazi ya kutetea mashoga' ubelgiji.
 
Leta Hoja Mkuu? Dr Slaa ni kweli alikuwa ni strong man na visionary ILA PIA TUKUMBUKE ali -operate katika msimu ambao atmosphere ya kisisasa ilikuwa tofauti sana na atmosphere ya kisisasa ya Makatibu wakuu wenzake waliofuata.
Slaa alikuwa bora kuliko huyu tipwatipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…