CHADEMA imekosa Katibu Mkuu Makini

Najua unakula ban ila ngoja nikwambie kuwa unamapungufu mengi humu sio size yako unafaa kuwa fb bado hauwezi kujenga hoja humu
Mimi sigopi ban ila wewe unayeshibia humu kupost ujinga ndiyo unaogopa. Nakuona kahaba tu. Kujiita USSR ndiyo unajiona mjaaanja wakati wewe choko tu. Haya pigeni hiyo ban yenu fala wewe. Mimi naingia humu kama burudani tofauti na wewe ni ajira kwako
 
Injini imefeli...gari lenu chadema linarudi nyuma kwa kasi ya ajabu...

Haliwezi panda mlima.
mmezuia hadi vikao hadi vya ndani lkn kutwa mnaiwaza cdm, hata huyo slaa angekuwa awamu hii mgetumia hata jeshi kumvunja miguu yote
 
Pale palimfaa John Heche...acha kujifanya hujui ukweli.


Mnyika kujiongoza mwenyewe shida....
 
Acha kujipa matumaini hewa......

Eti wanachama wameongezeka upupuuuu....!

Sema mna mtaji wa wanachama wangapi??

CCM ni million 8.
Kawaulize hao vibaka wenu wanaowapatia habari wanaju Chadema ina wanachama wangapi. We unabwekea humu wenzako tuko front. Chadema ni mziki mnene tumesha wa outnumber.
 
Dr slaa hata angekua bado katibu mkuu leo bado chadema inge shine sana.

Anajua namna ya kupambana vita vyote....ana uzoefu kwenye ulingo wa siasa....

Alikua anam-kontroo mwenyekiti....makatibu wakuu waliopita baada yake wote wanamuogopa mwenyekiti......

Slaa akisema "NO" basi ni no'


Slaa ilifika hatua anapata taarifa za ndani ya serikali plus nyaraka..

Hawa makatibu wa sasa wanaakuja na vipaumbele vya kitoto eti chadema digitali.

Kuandaa viongozi wa cdm eti nacho ni kipaumbele[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Anazuga yuko bize na ukatibu-mkuu


Huku wanambagua ndugu Mwalimu huyu wa zenji...miaka yote hawataki avuke bahari...wanampiga "u-naibu katibu mkuu"

Wanaua career yake...daaaah
 
Chadema inawakereketa vibaya mnooo...
Kama ambavyo Tume ya Taifa ya uchaguzi inawakereketa...kila uchaguzj watanzania wanafanya maamuzi lakini mnasema tume haiko huru.

Na akili zenu hizo za migebuka na mawese
 
Kama ambavyo Tume ya Taifa ya uchaguzi inawakereketa...kila uchaguzj watanzania wanafanya maamuzi lakini mnasema tume haiko huru.

Na akili zenu hizo za migebuka na mawese
Fala wewe.
 
Anazuga yuko bize na ukatibu-mkuu


Huku wanambagua ndugu Mwalimu huyu wa zenji...miaka yote hawataki avuke bahari...wanampiga "u-naibu katibu mkuu"

Wanaua career yake...daaaah
Humu kwny saccos yetu ya Lumumba Kuna katibu mkuu yupi toka zenji??
 
ccm tunasimama na bernard Membe uchaguzi mkuu mwaka huu
 
Wakubwa wenu wako busy wanajiundia kinga, hivi wanaogopa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…