Ulikuja na single ya ugaidi kwa Lwakatare kwa kupost ule ujinga ambao Polisi kwa kutumika eti wakaamini ule upuuzi wako Leo hii Lwakatare Mbunge.hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
kwenye lile bango hakuna kosa. wafuasi wa hisbu walikua machotara wabaguzi wa waafrika kuliko hata waarabu. wengi walijisikia waarabu na kutetea usultani uliowakandamiza waafrika. japo leo tupo wamoja hamna haja kung'aka watu wakikumbushwa historia.CCM haihubiri ubaguzi wewe umeliona bango na umeshikilia bango
Hii tune ya CHADEMA kukosa dira na mwelekeo haina collabo yake? Maana yake miaka nenda miaka rudi ni hiyohiyo lakini inashindwa kuhit huku CHADEMA kikizidi kuwika na kuchanja mbuga
ACT ina mwaka mmoja tayari inaongoza halimashauri, in madiwani kibao na mbunge juu.Mwenye akili aambiwi fikiri.
Uchukua upuuzi wa mtoa mada ukachanganya na uozo wa vijana wa ACT = Mbunge mmoja tu. Na ndoto ya kuwa chama kikuu cha upinzani huku kinapingana na wapinzani!
Lowassa fisadi why hajafikishwa Mahakamani?Chama kimekosa dira why unahangaika kukidiscuss?hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
Hilo swali zuri sana, muulize mnyika na Lisu kwa nini walikuwa wanasema wana ushahidi kuwa lowasa ni fisadi kumbe hawana !?!Lowassa fisadi why hajafikishwa Mahakamani?Chama kimekosa dira why unahangaika kukidiscuss?
Na fisadi wao wa midomoni Lowassa,sasa sijui mahakama bado haijaanzishwa auHii tune ya CHADEMA kukosa dira na mwelekeo haina collabo yake? Maana yake miaka nenda miaka rudi ni hiyohiyo lakini inashindwa kuhit huku CHADEMA kikizidi kuwika na kuchanja mbuga
hahaha kwani Lowasa na Sumaye na wale waliotoka ccm sio matawi yao ???? tuanzie hapo. una proof gani kuwa sio matawi yao? ?? ukishagundua basi hutafata siasa teeeeeena. achana na wanasiasa! unaweza ukafilisika unadhani unajitolea kwa malengo fulani kumbe wenzako wanapiga hela. michango mingapi ambayo tumeshachangia chadema mabilioni! unajua imetumikaje? ukiuliza unaambiwa msaliti umetumwa. acha banaACT ni tawla CCM,...kwa anayeelewa siasa ya TZ
kila sikuhuyo unayee msifia anabadili gia angani kwa speed anayopelekwa na CDMKwa namna ambavyo Magufuli anafanya kazi na tabaka la wanyonge ni dhahiri sasa cdm inafutika ktk ramani.Mabepari hawa wa cdm waliwatumia walalahoi kama mtaji wao wa kisiasa lakini sasa kundi hili linaamini ktk utendaji binafsi wa Rais na hii ni advantage kwa ccm.Itikadi ya cdm imejikita ktk kukosoa tu kitu kinachozidi kuwapoteza na kuionyesha rangi yao halisi.ACT wanaweza kuitumia fursa hii vizuri kama kweli ni wapinzani.