Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,918 Reaction score 288,029 Jul 9, 2014 #101 utaifakwanza said: washkaji wamevuta midomo huku ndita kweli kweli, picture means a lot Click to expand... WATENDAJI WA LUMUMBA WANALALAMIKA SANA kwamba WASALITI WANALIPWA HELA NYINGI MNO ! SASA KAMA CDM IMEKUFA YANINI MIHELA YOTE HIYO ?
utaifakwanza said: washkaji wamevuta midomo huku ndita kweli kweli, picture means a lot Click to expand... WATENDAJI WA LUMUMBA WANALALAMIKA SANA kwamba WASALITI WANALIPWA HELA NYINGI MNO ! SASA KAMA CDM IMEKUFA YANINI MIHELA YOTE HIYO ?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,316 Jul 9, 2014 #102 utaifakwanza said: mjibu kwa hoja mkuu. yeye ametoa maelezo yake kamili japo mafupi yakiwa na hoja. usibwabwaje Click to expand... Anayebwabwaja ni huyo Ifweero,kila siku lazima cdm,sijui analipwa sh,ngapi kwa kila post,amakwelj cdm imewashika sehemu nyeti.
utaifakwanza said: mjibu kwa hoja mkuu. yeye ametoa maelezo yake kamili japo mafupi yakiwa na hoja. usibwabwaje Click to expand... Anayebwabwaja ni huyo Ifweero,kila siku lazima cdm,sijui analipwa sh,ngapi kwa kila post,amakwelj cdm imewashika sehemu nyeti.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,316 Jul 9, 2014 #103 NTIGAHELA said: hawa cdm hawana chao chadema bila zitto ni makapi Click to expand... Kama ccm mlivyobakia jina kwani ccm ya maana alizikwa nayo baba wa taifa jk nyerere
NTIGAHELA said: hawa cdm hawana chao chadema bila zitto ni makapi Click to expand... Kama ccm mlivyobakia jina kwani ccm ya maana alizikwa nayo baba wa taifa jk nyerere
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,316 Jul 9, 2014 #104 duchi said: Hii ni kweli kabisa si mchezo! Click to expand... Duchi na Ifweero akili zenu zimeliwa na mdudu funza.
duchi said: Hii ni kweli kabisa si mchezo! Click to expand... Duchi na Ifweero akili zenu zimeliwa na mdudu funza.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,316 Jul 9, 2014 #105 utaifakwanza said: Chama kimekifa kifo kibaya sana Click to expand... Kimekifa,ndio lugha ya nchi gani?au ndio unataka kutimizapost,ili ukachuke 7000/Lumumba?njaa mbaya sana.
utaifakwanza said: Chama kimekifa kifo kibaya sana Click to expand... Kimekifa,ndio lugha ya nchi gani?au ndio unataka kutimizapost,ili ukachuke 7000/Lumumba?njaa mbaya sana.
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,422 Jul 9, 2014 #106 utaifakwanza said: Chama kimekifa kifo kibaya sana Click to expand... Kama kimekufa si ukiache wafu tuzikane wenyewe? Kwanini kujjisumbua kila siku na hoja moja tu? Hata kikienda makaburini tutaenda nacho, na wala hatuoni taabu wala aibu ya kujiita wanachama.wahenga walisema nyani haoni...
utaifakwanza said: Chama kimekifa kifo kibaya sana Click to expand... Kama kimekufa si ukiache wafu tuzikane wenyewe? Kwanini kujjisumbua kila siku na hoja moja tu? Hata kikienda makaburini tutaenda nacho, na wala hatuoni taabu wala aibu ya kujiita wanachama.wahenga walisema nyani haoni...
talentizo JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 461 Reaction score 115 Jul 9, 2014 #107 Bado asubuhi