CHADEMA imeingiliwa, inasikitisha ila ndio kweli

CHADEMA imeingiliwa, inasikitisha ila ndio kweli

Akhsante youngsharo.
Kabla ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kurudishwa tena 1992, watanzania wote waliokuwa ni wanachama wa chama cha siasa walikuwa ni CCM.
Baada ya mfumo wa vyama vingi kurudishwa tena mwaka 1992,waliokuwa wanachama wa CCM na wasio wanachama ndio walioanzisha vyama na wengine kuendelea kutoka CCM kulingana na wakati muafaka kwao.

Wakati vyama vingi vinaanzishwa walitegemea vyama vya upinzani vitashushiwa wanachama toka mbinguni? Hamkumbuki hata mwl Nyerere aliwahi kusema wapinzani watatoka ccm humo humo?
 
Baada ya Mwapachu kuondoka, leo ndio nimeamini CDM ile tuliyoijua sio tena.

Yaani hapa zoezi la kupiga kura ni kuondoa CCM A na kuweka CCM B.

Lowassa, Kingunge, Masha, Mwapachu, Sumaye hawa ndio wenye uzoefu lazima waingie kwenye baraza la mawaziri, mtake msitake.

Kweli kwa CCM maisha yataendelea kuwa yale yale. hakuna kilichobadilika.

Ni vizuri umeona kwamba CCm inaondoka.
Na Mzee Kingunge nae ataingia kwenye baraza la mawaziri.... Au jnaonaje?

Kama na wewe unayaka mkeo aingie mwambie ayakubali mabadiliko... Apewe wizara.
 
Ni vizuri umeona kwamba CCm inaondoka.
Na Mzee Kingunge nae ataingia kwenye baraza la mawaziri.... Au jnaonaje?

Kama na wewe unayaka mkeo aingie mwambie ayakubali mabadiliko... Apewe wizara.

Kingunge aliwahi kuwa waziri...sijui ni kipi significant anachoweza kujivunia
 
Baada ya Mwapachu kuondoka, leo ndio nimeamini CDM ile tuliyoijua sio tena.

Yaani hapa zoezi la kupiga kura ni kuondoa CCM A na kuweka CCM B.

Lowassa, Kingunge, Masha, Mwapachu, Sumaye hawa ndio wenye uzoefu lazima waingie kwenye baraza la mawaziri, mtake msitake.

Kweli kwa CCM maisha yataendelea kuwa yale yale. hakuna kilichobadilika.

Hah hah haaa!!!!! Hiyo inaitwa '#TOROKAUJE'. Nawe unakaribishwa UKAWA. Ila kumbuka kuwa hata isemwe vipi, wananchi wako hooii bin taaban na masysyemu na magamba. Wananchi wanataka #MABADILIKO , #UKAWA , #LOWASSA.
 
Kumbe umetambua ccm ni mbaya!

Hao vijana wa buku saba wa pale lumumba nyumbu striit na Aitii Masaki nao wameanza kuchanganyikiwa kabisa. Wanachanganya makemikoo. Wanajikuta, bila ya kujielewa, nyuzi wanazozianzisha zinawarudi na kuwaumbua magamba. Ndiyo maana mkuu ametoa vipaumbele thalatha: ilimu, ilimu, na ilimu tena - kwa kuanzia.
 
Baada ya Mwapachu kuondoka, leo ndio nimeamini CDM ile tuliyoijua sio tena.

Yaani hapa zoezi la kupiga kura ni kuondoa CCM A na kuweka CCM B.

Lowassa, Kingunge, Masha, Mwapachu, Sumaye hawa ndio wenye uzoefu lazima waingie kwenye baraza la mawaziri, mtake msitake.

Kweli kwa CCM maisha yataendelea kuwa yale yale. hakuna kilichobadilika.

Acha porojo zako wewe ulikuwa hajui kuwa Mzee kingunge kaondoka na PASSWORD za FISIEM? Mtasaga meno mwaka huu na sasa tutaheshimiana hapa MJINI baada ya October 25.
 
Kingunge aliwahi kuwa waziri...sijui ni kipi significant anachoweza kujivunia

Hata akiwa anatolewa nje kuota jua na kisha kuingizwa ndani baadaye jioni, nakuhakikishia kuwa Kingunge atakuwa waziri bora kabisa kuliko hao mawaziri wenu. Hebu angalia kwolifikesheni za baadhi ya vibosile ma serikali ya magamba:

Jina Kwolifikesheni

Makamba J. Baba yake alikuwa katibu mkuu wa magamba
Nepi Na-Unye Baba yake alikuwa mpiga kinanda wa masisyemu
Rizuwani Babake aliukwaa umukulu kwa magoli ya mikono
Amani Karume Babake alikuwa rais wa Zenji
Hussein Mwinyi Babake alikuwa mzee rukhsa

The list is endless. Sasa hao ndio ambao wanamagamba wanakiri kuwa ndio familia teule zenye mambo 'significant' ambayo wanamagaba wote wanajivunia. This ideological dwarfism has reached the end of the road. Wengi wa wananchi wametambua kuwa tuendako siko, na ndio maana sasawanasema #ULIKOTUKO.

Mabadiliko hayakwepeki wanamagamba. #TOROKENIMJE tuwe sambamba, bega kwa bega. Huyu mnayempigia debe hivi sasa naye karibu atawacha hoi, na atajiunga UKAWA. Kiwete ataachwa peke yae tarehe 25 October
 
kama mabadiliko ndio haya, ni bora tubaki na CCM kama chama tawala tu.

Ukweli ni kuwa fisiyemu imeishiwa pumzi. Hata mkibaki nayo haitafika mbali kwani imeshafloti. Kwa wanaanga tunasema it's stalling, and what comes next after an aircraft starts stalling is falling. Hakuna haja ya kuendelea na mafisiyemu, ni lazima watoswe. Chukua uamuzi sasa, usingojee sisyemu ikufie mgongoni mwako. Be part of those bringing about chane in your only God given country, Tanzania.
 
chadema ni kituo cha kulelea wazee hivyo mwapachu kaenda kituoni maana hana msaada wowote ccm na chadema ila ngoja naye aende kituoni
 
Acha wakubali maana hawakuwa wamejiandaa!!!! Sio kila asemaye FISADI anena kwa moyo wake wote BALI wengine wanena FISADI kwa NJAA na wakilishwa chakula kizuri na kupewa maji husahau neno lililowapa ulaji!!!!
 
Mzee kingunge, Lowassa na Mwapachu hawana madhara waache waende chama kiingie ikulu awamu ya tano kikiwa hakina makandokando
 
Mzee kingunge, Lowassa na Mwapachu hawana madhara waache waende chama kiingie ikulu awamu ya tano kikiwa hakina makandokando

Vema . Tafakuri nzuri. Mlitulia bila kutikisika, dawa ikapenya na kuingia vizuri. Sasa subirini ifanye kazi vyema, ila kuna dalili kuwa imeshaanza kuleta matokeo
 
Baada ya Mwapachu kuondoka, leo ndio nimeamini CDM ile tuliyoijua sio tena.

Yaani hapa zoezi la kupiga kura ni kuondoa CCM A na kuweka CCM B.

Lowassa, Kingunge, Masha, Mwapachu, Sumaye hawa ndio wenye uzoefu lazima waingie kwenye baraza la mawaziri, mtake msitake.

Kweli kwa CCM maisha yataendelea kuwa yale yale. hakuna kilichobadilika.

Unasikitika adui yako kuingiliwa au wewe kupoteza thinktanks??

Mkuu, try to find other propaganda - Mwapachu kaondoka ccm lakini hajajiunga ccm B
 
Mimi sikujua kama na Mwapachu kahamia CDM, ila katiba ya JMT ya 1977 inamruhusu Mwapachu na watanzania wengine kujiunga na vyama vyovyote bila kushurutishwa as long as havunji sheria.
 
Back
Top Bottom