MATAGA ilipokuwa Oktoba: "wabunge wa Chadema ni wapinga maendeleo, wasumbufu bungeni afadhali hawapo na bunge litakuwa live"Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu.Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura.Kipindi hiki cha magufuli cha miaka 5 wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea urais yote haya yasingetoke sasa hivi .Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi.
Sasa jitu limetoka huko lilikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.Tuhesabu tu maumivu.
Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu.Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura.Kipindi hiki cha magufuli cha miaka 5 wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea urais yote haya yasingetoke sasa hivi .Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi.
Sasa jitu limetoka huko lilikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.Tuhesabu tu maumivu.
Mbona hoja yake iko wazi tu: chadema mliweka zezeta kugombea urais ndo maana mkaangukia pua kwa kishindo. SimpoOndoa jazba /weka hoja mezani kwa utulivu tutakuelewa mkuu
Hamjamsikia mwenyekiti wenu anawambia wabunge wenu wamshukuru kwa kusaidia wizi wa kura?Huyo jamaa ameharibu kila kitu halafu mwenyewe amesepa. Eti anaenda kuendeleza mapambano, duh. Ufipa pamevurugwa na pamevurugika.
Zile spana alizopigwa magufuli si za kawaida , kanywea mpaka leo !Huyo jiwe wenu kiichompata kwa Tundu lisu anakijua hatakuja sahau maishani mwake, yeye ndiye anayeujua ukweli nyie wengine ni wa kulishwa uongo tu
Kama CHADEMA wameangukia pua nyie mumeangukia kichwa maana ndio tunaona mnapata tabu zaidi. ahaha ahaha haaMbona hoja yake iko wazi tu: chadema mliweka zezeta kugombea urais ndo maana mkaangukia pua kwa kishindo. Simpo
CCM sasa ndiyo wasemaji wa chadema? Mateso kuwabambikia kesi kuwapiga risasi hawayakuyaona?Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.
Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura. Kipindi hiki cha Magufuli cha miaka 5 Wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.
Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea Urais yote haya yasingetoke sasa hivi.
Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi. Sasa jitu limetoka huko lilikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.
Tuhesabu tu maumivu.
Bila CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani haya yote yasingetokeaHilo lijamaa limeharibu kila kitu halafu lenyewe limesepa. Eti linaenda kuendeleza mapambano, duh. Ufipa pamevurugwa na pamevurugika.
CCM wanawaza kukosa misaada ulaya ndiyo maana wanajidai kuwatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetaniKama CHADEMA wameangukia pua nyie mumeangukia kichwa maana ndio tunaona mnapata tabu zaidi. ahaha ahaha haa
Kaapa uwanja wa Taifa kuilinda katiba lakini sasa Mbona anaivunja katiba kwa kuwanunua covid 19 kienyeji kwa njia haramu za kishetani?Zile spana alizopigwa magufuli si za kawaida , kanywea mpaka leo !
Ndivyo wehu unavyoanza.Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.
Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura. Kipindi hiki cha Magufuli cha miaka 5 Wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.
Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea Urais yote haya yasingetoke sasa hivi.
Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi. Sasa jitu limetoka huko lilikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.
Tuhesabu tu maumivu.
LISSU ndio mtu SAHIHI kwa uchaguzi huu na Kama sio wizi wa kura chadema wangeshinda maeneo mengiSarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.