CHADEMA ilikuwa na uwezo wa kupata Wabunge wengi ila kauli tata za Tundu Lissu zimewagharimu

Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.

Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura. Kipindi hiki cha Magufuli cha miaka 5 Wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.

Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea Urais yote haya yasingetoke sasa hivi.

Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi. Sasa mtu ametoka huko alikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.

Tuhesabu tu maumivu.

We inakuhusu nini?
 
Wakati mwingine nafikiria kuwa watu hawaekewi upinzani na nia ya upinzani. Nitaanza mfano mdogo tu. Tegemeo na ombi kubwa la Simba (chama cha mpira) ni kuhakikisha Yanga haiendi mbali. Tegemeo na ombi kubwa la Yanga ni kuhakikisha Simba haiendi mbali. Yanga hata isipochukuwa kombe la nchii ikiifunga Simba washabiki wake huridhika na hivyo hivyo ndivyo ilivyo kwa simba. Ili Simba au Yanga kushinda ni lazima kuwatafuta wachezaji wazuri na wawe naye kocha mahiri. Katika hili hakuna mabishano.
Vyama vya siasa navyo vinatakiwa kuwa na uangalifu katika kuajiri kocha (na wasaidizi wake) nikiwa na maana uongozi na kutafuta wachezaji wazuri wa uanjani nikiwa na maana ya wagombea. Kila mara tunasikia Simba na Yanga wananyang'anyana wachezeji. Nia kubwa ya hili ni kudhoofishana. yaani ukiwachukuwa wachezaji mahiri unaidhoofisha timu maana inachukuwa muda kupata wengine.
Sisi tunashindwa kutambuwa kuwa siasa TZ haiendi na itikadi saana. Ukiangalia katika kampeni yale wanayotaka kufanya CHADEMA/upinzani ndiyo yaleyale. Hakuna chama chenye itikadi ambayo inauzika kwa wananchi, na wakaona hii ndiyo itikadi nzuri. Wote utasikia visima, barabara, shule, etc. Upinzani kwa mfano unasema elimu yetu imeanguka na sisi tutaiimarisha. Ili kuimarisha itabidi tuangalie bajeti yetu ili kuona tunguze nini na tuongeze wapi. Inabidi tuangalie je uwezo na mzigo wa elimu bure tunauweza? Lakini upinzani umeogopa kutoa ukweli, kwa vile unajuwa elimu bure inakubalika, na huwezi ukawa na elimu bure na uwezo wa kujenga shule nzuri, kuajiri walimu n.k. Sasa kama upunzani unaogopa kutetea itikadi yao hata kama wanajuwa watabezwa, basi ni sawa na kutokuwa na itikadi.
Upinzani siku zote umeboronga katika kuchaguwa wachezaji, hasa kapteni wa wachezaji (mgombea wa uraisi). Upinzani hasa CHADEMA wamekuwa wepesi wa kutumia hulka kuteua mgombea uraisi. Wameshindwa kujenga watu wao, wamekuwa ni wa kuokoteza waganga njaa. Ilikuwa ni makosa kutomteua Dr. Slaa kugombea Uraisi. Dr. Slaa alikuwa anakubalika kitaifa, lakini kukubalika kwake kulikuwa ni hatari kwa Mbowe. Matokeo yake wakamkaribisha Lowassa ambaye kawakimbia. Pia walijikuta na tatizo pale walipotaka kulazimisha ...... kugombea uongozi wa Ji,mbo la Mashariki. Wananchi walikuwa na busara kumchaguwa mwenzao kuliko mjaleo.
Dr. Slaa kaondoka, Kabwe kaondoka, sasa safu nzima ya wakina mama wameondoka, lakini hapo pote CHADEMA haijajuwa namna ya kuwashiki;ia wale wanakiimarisha chama. Ukija juu unakatwa kichwa. Kwenye hili mkoa wa Mara ulikuwa na watu wenye kuiinua ajenda ya CHADEMA, lakini sasa wote wameondolewa, na mwingine inasemekana aliuwawa na dereva aliyetumwa na chama, kwa sababu alikuwa tishio kwa mkuu.
Kipaji cha kuandika ujinga mrefu unacho.
 
Kila siku napiga goti kuomba Mungu, atusaidie majinga jinga Kama hili lileta Uzi, hata Kama hayataisha basi asaidie yapungue tu, kwa style hii nakiri ccm inaweza ikatawala milele. Kama majitu ya namna hii hayatapungua.
Wewe unauhakka gani kwamba ni mjanja?
Ungekuwa mjanja unekuwa hapo ulipo?
Au kwako uwanja ni kuniliki simu janja na kujua kupost lolote na pobote bila hoja yoyote?
 
MATAGA ilipokuwa Oktoba: "wabunge wa Chadema ni wapinga maendeleo, wasumbufu bungeni afadhali hawapo na bunge litakuwa live"

MATAGA ilipofika November: "Tunawapongeza wabunge wa Chadema kuonesha uzalendo kwenda kuapishwa. Sasa tuchape kazi"

MATAGA/UVCCM ubongo wao ni 'ki WONDER' cha kuchakata upumbavu duniani
Mataga,
Kwenye kampeni,
Majibu yanayoongozwa na Chadema hayana maendeleo,
Mataga,tutawalinda Covid 19 kwa ghalama yoyote.
Yaani Mataga tapo Kama nywele/hayaeleweki.
 
Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.

Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura. Kipindi hiki cha Magufuli cha miaka 5 Wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.

Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea Urais yote haya yasingetoke sasa hivi.

Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi. Sasa mtu ametoka huko alikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.

Tuhesabu tu maumivu.
Huna kumbukumbu hujui wakurugenzi walikwa kazini?
 
Kura za kwenye mabeg na matokeo ya mifukoni sio wananchi. Tumeona kila kilichofanyika, msidhani mtatuhanisha kwenye ukweli kama mazombie. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.

Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura. Kipindi hiki cha Magufuli cha miaka 5 Wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.

Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea Urais yote haya yasingetoke sasa hivi.

Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi. Sasa mtu ametoka huko alikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.

Tuhesabu tu maumivu.
Safi kabisa ...Na wape makavu makavu...
 
Mkuu umesahau kauli zilizotolewa kuwa majimbo yaliyokuwa na wabunge na madiwani wa upinzani yalimfanya Mfalme ashindwe kupeleka maendeleo? Bunge lote kwa sasa ni la CCM, au Mfalme kwa sasa pia anataka apewe 19 wa viti maalum wa CDM ili dhamira yake ikapate kutimia kwa 100%?

You need some, come and take some.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Hakika mataga watabaki kuwa mataga tu

Back
Top Bottom