CHADEMA ikome kutudanganya

Nashangaa wanatumia nguvu kubwa KUMKANUSHIA Mhe MNYIKA, Kwani MNYIKA HANA MDOMO
 
Mnashindwa kuhangaika kuokoa act yenu mmeamua kumuachia Zitto peke yake
 
Mnyika bubu???? mlimsemea Dkt Slaa kuwa hajaandika barua ya kujiuzulu, lkn akaja kuwaumbua mbele ya vyombo vya habari, mlisemea Lipumba, pia akawaumbua, Mnyika msimsemee,, tunaomba akanushe mwenyewe.
 
Mimi nasema tena hapa!

Mnyika akijitokeza kwenye social network yeyoye akasema hataki Lowasa akamatwe na fisadi na ana mkubali sana na alikubali yeye kuingia chadema basi mimi nitajitoe Jf na nitaomba ban la miezi sita!

Ujitoe au usijitoe huna impact yoyote hapa sana sana huenda utaaffect Lb7 project
 
Mnyika bubu???? mlimsemea Dkt Slaa kuwa hajaandika barua ya kujiuzulu, lkn akaja kuwaumbua mbele ya vyombo vya habari, mlisemea Lipumba, pia akawaumbua, Mnyika msimsemee,, tunaomba akanushe mwenyewe.

Mbona unahangaika sana na CDM? ACT haikuridhishi?
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
Hayapo ya kuongea kuhusu CCM ambayo ni yenu? Mnaipenda CHADEMA ama ndio kejeli? Sitofautishi na umbea wa kawaida tu, "Hujatumwa na si mshirika wao" badala ufurahie kushindwa kwao unajifanya unawashauri vizuri eti waje wakushinde, hizi zilikuwa ni zama za zamani saana! Unadhani Mnyika kama akiachana na CHADEMA atakufaa wewe kwenye jambo gani? Pilipili ipo shamba wewe inakuwashia nini? Jitambue, elewa unachokiongea!!
 
Chadema wanapagawa sana wanaposikia ukweli upo hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…