CHADEMA Iko Imara-Lwakatare

 
Saluti chifu Lwakatare, kila njama za siri za kuhujumu chama zitawekwa wazi na hatua za kinidhamu zitachukuliwa
 
Idara nyeti?

Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
 
huyu msukule anatia huruma kwa kweli,si atulie tu angoje kufa.bure anajipendekeza wakati hana analolijua.
 
We molemo slaa amepiga marufuku mbona unamkosea adabu katibu mkuu wako,
Rwakatare kesi yake ya ugaidi imefika wapi.

Kuhusu kesi muulize MWIGULU LAMECK MADELU MKUMBO kwani yeye ndio IGP, DPP kwa hiyo anaweza kujua ilipofikia
 
 
We molemo slaa amepiga marufuku mbona unamkosea adabu katibu mkuu wako,
Rwakatare kesi yake ya ugaidi imefika wapi.
...hapo kwenye red kamuulize savimbi, ameshindwa kukamilisha movie yake ..?
 

Hivi huyu Lwakatare si ndiye aliyeambiwa amshughulikie Nyakarungu?!
 
If I learnt this language thoroughly, then your post could have been rephrased this way...

Entare y' Omuka

Cheyi, indeed the man is right and you are without doubt right, Shana wenene omukigambo 'Okumoka, abomuka bakweta roaring, mbwenu iwe, oyenzire kugamba entare Y'omuka, rwona nikwo kugamba Entare Ya kibeta, byona amoi entare yamoka naitwe twagihurira! Wakola waitu omushongole!!
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu.

CHADEMA inaendelea na itaendelea kusonga mbele zaidi kwa vile tulianza na Mungu, tutamaliza na Mungu. Ndo maana tunawagundua wasaliti na mapandikizi yanayojiinua kutaka kutuvuruga.
 
Huwezi kuzuia mazishi ya machadema labda uwe zuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…