Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.
Kiongozi huyo anayeongoza Idara nyeti ya Kurugenzi ya Ulinzi na usalama ndani ya chama amesema Idara yake ya usalama iko makini sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.
Ammesema wako Imara kulinda mali za chama na viongozi wake na kupokea maagizo yoyote yatakayoamuliwa na ngazi ya juu.
Lwakatare amesema si jambo la ajabu kufukuza wasaliti wanaokwenda kinyume na taratibu za chama.
Source:Mwananchi.
Mtu mhm kwa sumuNimefarijika kusikia haya kutoka kwa mtu muhimu kwenye chama Kama Lekwatare
Hongera mkuu wa Usalama Chadema Daima.
Dr. Slaa kaishakataza kujadili.
Idara nyeti?
Huu si mjadala ni taarifa ya kuwa pamoja na juhudi zenu mfu CHADEMA ipo imara zaidi
Ambacho kifupi chake ni CCM... Nimekosa picha ya mafisi....Chama Cha MAFISI
Mtaalam wa sumu na tindikali ameibuka
Entare Ya'moka
Mnajikoroga wenyewe kwa ubaguzi mnaanza kutafta mchawi. Shame kwenu
Sawa mtoto mzuri.Huu si mjadala ni taarifa ya kuwa pamoja na juhudi zenu mfu CHADEMA ipo imara zaidi
Hongera mkuu wa Usalama Chadema Daima.
Idara nyeti?
Sawa mtoto mzuri.
Lwakatare si huwa anabebaga Tindikali kwenye gari lake?
Lwakatare si huwa anabebaga Tindikali kwenye gari lake?[
Unamuuliza nani? kama unauhakika na hilo umechukua hatua gani? hizo ndy lopolopo za Nape, Nchemba na magamba wengine b care