Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.
Kiongozi huyo anayeongoza Idara nyeti ya Kurugenzi ya Ulinzi na usalama ndani ya chama amesema Idara yake ya usalama iko makini sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.
Ammesema wako Imara kulinda mali za chama na viongozi wake na kupokea maagizo yoyote yatakayoamuliwa na ngazi ya juu.
Lwakatare amesema si jambo la ajabu kufukuza wasaliti wanaokwenda kinyume na taratibu za chama.
Source:Mwananchi.
Entare Ya'moka
We molemo slaa amepiga marufuku mbona unamkosea adabu katibu mkuu wako,Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Wilfred Lwakatare amesema chama chake kimezidi kuwa imara baada ya kuchukua hatua ya kuwafukuza wasaliti mara moja walipobainika.
Kiongozi huyo anayeongoza Idara nyeti ya Kurugenzi ya Ulinzi na usalama ndani ya chama amesema Idara yake ya usalama iko makini sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote.
Ammesema wako Imara kulinda mali za chama na viongozi wake na kupokea maagizo yoyote yatakayoamuliwa na ngazi ya juu.
Lwakatare amesema si jambo la ajabu kufukuza wasaliti wanaokwenda kinyume na taratibu za chama.
Source:Mwananchi.
Idara yake inaaminika nini wakati msack tu kamshindwa atamweza nani.It sounds good, ukizingatia idara yako ilivyo ya muhimu ktk chama. Magamba walinza na wewe ukawashinda. Together we can, exclusive traitors. Nashukuru ZZK amesema atakuwa wa mwisho kusaliti na kukihama chama.
Idara yake inaaminika nini wakati msack tu kamshindwa atamweza nani.
Waguhulila mmoko, amabanga ngatetema, ebyanzi nibyatika.
Dr. Slaa kaishakataza kujadili.