Hizi ni propaganda CCM ama kweli kuwa ndani ya CDM kuna ukabila na udini? Hivi ni kweli kwa nchi kama TZ mtu unaweza kuanzisha chama cha siasa kwa malengo ya kutaka kupata wawakilishi bungeni na hata kuja kushinda uchaguzi mkuu na kuchukua Dola kwa chama cha dini moja au kabilla moja kwenye nchi yenye dini au madhehhebu na makabila zaidi ya moja halafu utegemee kushinda uchaguzi. kweli? Fikiria mtu anakuja kujiunga na chama cha dini fulani au kabila fulani halafu kabla ya kummpa uanachama unamuuliza kuwa wewe ni dini gani akitaja dini isiyokuwa ya chama chako unamnyima uanachama vivyo hivyo kwa kabila ukijua sio wa kabila la chama chako unamnyima uanachama halafu unategemea kushinda uchaguzi ili uje uongoze Watanzania wote.Ni kweli? mie nafikiri CCM wabadilishe uongo maana huu uko wazi mno
stupid topic sorry
CCM imeishiwa cha kuwambia Watanzania ndio maana wameng'ang'ana na hoja za ukabila,udini badala ya kutoa sababu za kwa nini wanaitangaza Tanzania kama nchi maskini wakati nchi ni tajiri sana.Ina ardhi nzuri kwa kilimo cha mazao yote,ina bahari,maziwa makubwa na magogo na mito yenye samaki wa kila aina,ina madini ya aina zote zinzopatikana duniani na zingine ziko hapa nchini pekee(tanzanite),mbuga za wanyama kwa ajili ya watalii.Bila aibu kwa faida yao wanatutangazia umasikini.Hizi ni propaganda CCM ama kweli kuwa ndani ya CHADEMA kuna ukabila na udini? Hivi ni kweli kwa nchi kama TZ mtu unaweza kuanzisha chama cha siasa kwa malengo ya kutaka kupata wawakilishi bungeni na hata kuja kushinda uchaguzi mkuu na kuchukua Dola kwa chama cha dini moja au kabilla moja kwenye nchi yenye dini au madhehebu na makabila zaidi ya moja halafu utegemee kushinda uchaguzi.
Kweli? Fikiria mtu anakuja kujiunga na chama cha dini fulani au kabila fulani halafu kabla ya kummpa uanachama unamuuliza kuwa wewe ni dini gani akitaja dini isiyokuwa ya chama chako unamnyima uanachama vivyo hivyo kwa kabila ukijua sio wa kabila la chama chako unamnyima uanachama halafu unategemea kushinda uchaguzi ili uje uongoze Watanzania wote.Ni kweli? mie nafikiri CCM wabadilishe uongo maana huu uko wazi mno.
CCM imeishiwa cha kuwambia Watanzania ndio maana wameng'ang'ana na hoja za ukabila,udini badala ya kutoa sababu za kwa nini wanaitangaza Tanzania kama nchi maskini wakati nchi ni tajiri sana.Ina ardhi nzuri kwa kilimo cha mazao yote,ina bahari,maziwa makubwa na magogo na mito yenye samaki wa kila aina,ina madini ya aina zote zinzopatikana duniani na zingine ziko hapa nchini pekee(tanzanite),mbuga za wanyama kwa ajili ya watalii.Bila aibu kwa faida yao wanatutangazia umasikini.
Mleta uzi ni Muathirika wa shule za kata..hata mwandiko wajieleza.
stupid post!Im sorry too!stupid topic sorry
Mleta uzi ni Muathirika wa shule za kata..hata mwandiko wajieleza.