CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

ccm wajue watanzania waliotaka kuwagawa kwa vigezo hivyo wameamka na nadhani hata wao wenyewe wanaona matokeo.
 
Huu upuuzi wa CCM kuchochea udini na ukanda ndio umeanza kutugawanya Watanzania sasa, kazi kubwa sana itakipata chama cha upinzani kitakajokuja kutawala baada ya CCM kuanza kuziba hizo nyufa na kujenga utaifa ambao uliasisiwa na Mwalimu JKN ukabomolewa na wanafunzi wake.
 
Hizi ni propaganda CCM ama kweli kuwa ndani ya CHADEMA kuna ukabila na udini? Hivi ni kweli kwa nchi kama TZ mtu unaweza kuanzisha chama cha siasa kwa malengo ya kutaka kupata wawakilishi bungeni na hata kuja kushinda uchaguzi mkuu na kuchukua Dola kwa chama cha dini moja au kabilla moja kwenye nchi yenye dini au madhehebu na makabila zaidi ya moja halafu utegemee kushinda uchaguzi.

Kweli? Fikiria mtu anakuja kujiunga na chama cha dini fulani au kabila fulani halafu kabla ya kummpa uanachama unamuuliza kuwa wewe ni dini gani akitaja dini isiyokuwa ya chama chako unamnyima uanachama vivyo hivyo kwa kabila ukijua sio wa kabila la chama chako unamnyima uanachama halafu unategemea kushinda uchaguzi ili uje uongoze Watanzania wote.Ni kweli? mie nafikiri CCM wabadilishe uongo maana huu uko wazi mno.
 
Hizi ni propaganda CCM ama kweli kuwa ndani ya CDM kuna ukabila na udini? Hivi ni kweli kwa nchi kama TZ mtu unaweza kuanzisha chama cha siasa kwa malengo ya kutaka kupata wawakilishi bungeni na hata kuja kushinda uchaguzi mkuu na kuchukua Dola kwa chama cha dini moja au kabilla moja kwenye nchi yenye dini au madhehhebu na makabila zaidi ya moja halafu utegemee kushinda uchaguzi. kweli? Fikiria mtu anakuja kujiunga na chama cha dini fulani au kabila fulani halafu kabla ya kummpa uanachama unamuuliza kuwa wewe ni dini gani akitaja dini isiyokuwa ya chama chako unamnyima uanachama vivyo hivyo kwa kabila ukijua sio wa kabila la chama chako unamnyima uanachama halafu unategemea kushinda uchaguzi ili uje uongoze Watanzania wote.Ni kweli? mie nafikiri CCM wabadilishe uongo maana huu uko wazi mno

Am disappointed that you have chosen an ID of my screen hero....RIP Mr LEE VAN CLEEF (angel eyes) of the famous THE GOOD, THE BAD and THE UGLY of spaghetti western genre, as directed by Mr Sergio Leone......my first movie to watch in CINEMA!

images
 
Hizi ni propaganda CCM ama kweli kuwa ndani ya CHADEMA kuna ukabila na udini? Hivi ni kweli kwa nchi kama TZ mtu unaweza kuanzisha chama cha siasa kwa malengo ya kutaka kupata wawakilishi bungeni na hata kuja kushinda uchaguzi mkuu na kuchukua Dola kwa chama cha dini moja au kabilla moja kwenye nchi yenye dini au madhehebu na makabila zaidi ya moja halafu utegemee kushinda uchaguzi.

Kweli? Fikiria mtu anakuja kujiunga na chama cha dini fulani au kabila fulani halafu kabla ya kummpa uanachama unamuuliza kuwa wewe ni dini gani akitaja dini isiyokuwa ya chama chako unamnyima uanachama vivyo hivyo kwa kabila ukijua sio wa kabila la chama chako unamnyima uanachama halafu unategemea kushinda uchaguzi ili uje uongoze Watanzania wote.Ni kweli? mie nafikiri CCM wabadilishe uongo maana huu uko wazi mno.
CCM imeishiwa cha kuwambia Watanzania ndio maana wameng'ang'ana na hoja za ukabila,udini badala ya kutoa sababu za kwa nini wanaitangaza Tanzania kama nchi maskini wakati nchi ni tajiri sana.Ina ardhi nzuri kwa kilimo cha mazao yote,ina bahari,maziwa makubwa na magogo na mito yenye samaki wa kila aina,ina madini ya aina zote zinzopatikana duniani na zingine ziko hapa nchini pekee(tanzanite),mbuga za wanyama kwa ajili ya watalii.Bila aibu kwa faida yao wanatutangazia umasikini.
 
In Tanzania hata paka au mbwa anauwezo wa kuongoza kama ccm! Yaani hizi nchi za africa zinamatatizo...aaaaH!
 
Rudi CCM ambako hakuna udini na ukabila. Mkuu wa mkoa wa Mwanza si amekataza udini kwenye issue za kuchinja? Na Wasira si alifaulu kutuliza mzuka mwanza? Vipi geita ni CDM wanaongoza?! Angalia CC ya CCM haikukaa kuelemea dini fulani kweli?! CDM ni chama cha watanzania wote kama huamini anzisha mkutano mjini kwenu mmoja wa ccm na mwingine wa Cdm tuone nani anapata wasikilizaji bila ya kuwaleta kwa malori

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ni wazi bila kificho kuwa chadema inaelekea kushinda vita ya propaganda.
 
leo ccm imekuja na issue ya sekretari wa dr slaa baada ya lile la kadi mbili kukwama.
 
Back
Top Bottom