meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Ni wazi kwamba CCM sasa imeingia kwenye vita mpya na CDM.Vita hiyo ni ya Propaganda na inapiganiwa kwenye mlango wa CDM.
CCM sasa imeamua kuwanunua baadhi ya vijana waliofukuzwa CDM na kupita huku na huko wakijitambulisha eti ni viongozi wa CDM na wanawachafua viongozi wa CDM hasa Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.
Katika hali ya kushangaza vijana hao wanapata Airtime ya kutosha kwenye TV,Radio na Magazeti Maalum.
Ni wakati sasa wa kitengo cha habari na uenezi CDM kuwa imara kupambana na Propaganda hizi chafu ambazo zinaweza kukiathiri chama hasa kwa watu wasio waelewa sana.
Nawaalika wanajamvi kutoa mchango wa mawazo kwa kitengo hicho kinachoongozwa na John Mnyika na Tumaini Makene.
Lakini mwisho niseme mdharau mwiba mguu huota tende.CDM wameshauriwa mara nyingi kupambana na waasi ndani ya Bavicha wakawadharau,sasa waasi hao wameota mapembe wanaitisha mikutano ya waandishi kumtisha Dr Slaa.Kama Baba mwenye nyumba anatishwa tuzidi kukaa kimya?
-Propaganda chafu ndiyo nguzo yao.Kwa bahati mbaya sana CCM wamekua wakitumia vijana ambao uwezo wao tunaujua.Hata vibaraka wao waliobaki ni harmless.Naendelea kutoa wito.Tuchukue hatua kali
-Juzi wameleta.machafuko facebook hasa TANURU LA FIKRA,Cha motto wamekiona.
Tusikubali kukaa nabtraitors miongoni mwetu.Tuwapeleke kunakostahili
-Wanaofanya siasa za ufuasi wanajulikana
-Kama fikra huru ni kutukana matusi badala ya kujenga hoja basi sitaki kuwa na fikra hizo
-Narudia hakuna msaliti atakayeambatana nasi katika mapambano haya
....Wenye fikra za kifuasi wapo wazi,na wanaonekana kwa maneno na matendo yao, wapo tayari ata kurusha ngumi ilmuradi wamtetee "mtu" badala ya "fikra", na upo katikati ya kundi hilo sasa, ukishakuwa ana "akili ndogo hizi" hauwezi kusimama kwa miguu yako, tegemea mbebaji tu...
....Umaarufu wa Chadema ukiyeyuka, wanasiasa wengi waliopo Chadema leo ndio utakuwa mwisho wa fani yao ya siasa kwa sababu hawajajipambanua kwa wananchi kama wanaweza kusimama wenyewe, ata akina Masumbuko Lamwai wanalijua hili...
...LAKINI ata ANC ikifa leo-Kijana Malema atabaki, ata Kibaki alipomgeukia ndani ya NARC-Raila Odinga alibaki, ata ODM ilipomgeukia-Ruto alibaki, na ata changamoto ya ICC ilipokuja-Uhuru Muigai alibaki, ata Chadema ikifa leo-Zitto atabaki, kwanini? hawategemei upepo wa "mtu" wala "matukio", wanaweza kusimama kwa miguu yao...