mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Kwanza siombi hiyo hali itokee! Na mungu haepushie mbali kabisa.
Nikiwa kama mwanachama hai na mpenzi mkubwa wa hili CHAMA[chadema]
ambae nimekunywa hadi maji ya rangi ya bendera yake. Nina swali moja -Hivi
chadema imetokea kusambaratika tutakimbilia wapi? Maana kwa sasa hapa
Tanzania hakuna chama cha ukweli na chenye malengo ya Taifa hili na wananchi
wake kama chadema! Hakika hili ndio kimbilio letu kwa sisi tuliochoka na usanii wa
miaka 50. Mijadala yote inayoipasua kichwa ccm leo hii,ni kazi ya chadema. Mwamko
wa wananchi zidi ya serikali yao ya kifisadi na mengine mengi,ni kazi ya chadema.
Si mijini,si vijijjini. Si secondary schools,si vyuoni. Si maofisini,si mitaani. Si redioni,si
kwenye luninga. Si magazetini,si kwenye mablog. Yaani kila sehemu ni chadema tu!.
Ssa itokee hili CHAMA lisambaratike' Je tutakimbilia wapi? kiliochetu tutakitoa wapi?
sura zetu tutazificha wapi? Je tutawafata viongozi wahamiapo vyama vingine au tuta
baki na CHAMA letu? kwenye viongozi nazungumzia wale super havyweight ya Top 5.
Mfano Dk Slaa,Mbowe nk. Je itakuwaje na tutafanya nini? - Nawasilisha
Aisee watu mnapumba duuu!
Watu kama hao lazima wawepo ili dunia iweze kukamilika.
JF bwana... haiishi vituko vya kila aina, YANGU MACHO!!Henge na Sulpha hakika nyie ndiye mukombali sana kifikra
Nyie ndie mnaosema mimi na mke wangu hatutaachana hadi kiama.
Ikitokea mke au girl friend wako kakupiga chini unaanza kunywa sumu
au kujitundika. Kwenye maisha yoyote yale lazima kuwe na PLAN B siyo A tu.
Kuna mifano mingi sana kwenye maofisi na private sector pia. Huko kote ni
lazima uwe na plan B kwa hakiba.
Hivi NCCR,TLP,CCJ nk. leo viko wapi? si vimebaki makuwadi wa ccm tu?
Kwanza ma self siombi hiyo hali itokee hata kidogo! Lakini ikajatokea ghafla
bin vuu tutafanyeje? Hili ndilo swali langu la PLAN B.
Tukiwa kama maGreat thinker si mbaya tukiwa na plan zote A na B kwenye mind zetu.
Ahsante SAMWEL E.K kwa post yako ya kwanza lakini umejibu vizuri sana
Kwanza siombi hiyo hali itokee! Na mungu haepushie mbali kabisa.
Nikiwa kama mwanachama hai na mpenzi mkubwa wa hili CHAMA[chadema]
ambae nimekunywa hadi maji ya rangi ya bendera yake. Nina swali moja -Hivi
chadema imetokea kusambaratika tutakimbilia wapi? Maana kwa sasa hapa
Tanzania hakuna chama cha ukweli na chenye malengo ya Taifa hili na wananchi
wake kama chadema! Hakika hili ndio kimbilio letu kwa sisi tuliochoka na usanii wa
miaka 50. Mijadala yote inayoipasua kichwa ccm leo hii,ni kazi ya chadema. Mwamko
wa wananchi zidi ya serikali yao ya kifisadi na mengine mengi,ni kazi ya chadema.
Si mijini,si vijijjini. Si secondary schools,si vyuoni. Si maofisini,si mitaani. Si redioni,si
kwenye luninga. Si magazetini,si kwenye mablog. Yaani kila sehemu ni chadema tu!.
Ssa itokee hili CHAMA lisambaratike' Je tutakimbilia wapi? kiliochetu tutakitoa wapi?
sura zetu tutazificha wapi? Je tutawafata viongozi wahamiapo vyama vingine au tuta
baki na CHAMA letu? kwenye viongozi nazungumzia wale super havyweight ya Top 5.
Mfano Dk Slaa,Mbowe nk. Je itakuwaje na tutafanya nini? - Nawasilisha
Henge na Sulpha hakika nyie ndiye mukombali sana kifikra