Frank Sojo
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 343
- 97
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
jifunze kutumia lugha nzuri na kuchangia mada kwa ustaraabu pasipo kutaja majina ya watuNa jinsi wabunge wa cdm wanavyo penda kula bata sijui kama watamaliza wiki mbili kichakani. Nassari alipigwa kofi moja tu mpaka akalazwa. Tumeona sugu alivyo bebwa kama gunia la mahindi. Hao ndio makamanda.
kila mtu ana uhuru wa kushabikia anachokiamini hivyo usiwalaumu wanaoshabikia chademamimi huwa najiuliza sana khs watu wanaoishabikia chadema,nadhani hawaijui na akili zao haziko sawasawa
KATIKA HARAKATI HIZI ZA kisiasa watu wamekubali kujiunga na vyama vya siasa ili kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa kubadilisha utawala. Wasiwasi wangu ni kuwa kama hzi harakati za kutaka kukiuwa chama hiki zitafanikiwa basi ni wazi kuwa watanzania wengi hawatataka tena kupoteza muda kwenye siasa ili kubadilisha utawala. Watanzania watajiunga au wataunda jeshi ili kuiondoa serikali iliyopo madarakani. hii ni kwa kuwa watakuwa wameona kuwa hamna haja tena ya kujishughulisha na siasa wakati wanaona bado kuna uhuni unafanyika katika nchi yao.
hili linaweza kuingiza nchi katika machafuko...na kama viongozi waliopo madarakani hawatakuwa na nia thabiti, nia njema kwa nchi hii basi waendelee na hii mikakati ya kutaka kuzima vyama vya upinzan ambavyo vinaonekana kukubalika kwa wananchi. kwa hatua ambayo watu wamefika kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?