Wameshachelewa. Na laana ya Dk slaa inawatafuna. Chama kinamaliza uhai wake bunge likivunjwa.Ujumbe wangu ni mfupi tu kwa viongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Jitafakarini upya kuhusu mwenendo wa chama, mifumo ya uongozi, sera za Chama, namna mnavyoshughulika na masuala ya ndani ya chama, masilahi ya mtu mmoja mmoja chamani, umoja wa chama n.k. Haya mambo yaangaliwe kwa jicho la tatu.
Ni dhahiri sasa kuwa hawa wabunge,madiwani na wanachama wenu wanao hama chama kila siku si kwa sababu wananunulia kama mnavyoamini/kuaminisha watu, kutakuwa na tatizo la kiuongozi.
Katika hili wala msitafute mchawi, ni ninyi wenyewe ndio sababu na msipo badilika mtaendelea kupoteza watu wengine makini chamani.
Hivi karibuni mmekuwa mkifanya maamuzi ya kushangaza sana kwenye mambo ya msingi mfano.
Kumchagua Lissu kuwa makamo mweyekiti wakati mtu hayupo hata nchini na anadai hatorudi nchini kuhofia usalama wake.
Alafu yeye ndio makamo mwenyekiti, katika hili mmekosea sana. Sijui kama wote mlikubaliana hili sina hakika.
Uamuzi wa kuondoka bungeni kisa Covid-19, huu uamuzi kwa asilimia mia moja mlikurupuka haukuwa uamuzi sahihi na sina hakika pia kama ulikubaliwa na wengi ndani ya chama.
Tuhuma za ubadhilifu na ufisadi ndani ya chama, hili nalo ni tatizo kubwa sana hili ambalo linaendelea kuota mizizi ndani ya chama mfano mweyekiti anatuhumiwa kwa matumizi mabaya na upotevu wa bil 8.
Malalamiko ya wabunge kukatwa mishara yao kwa kiwango kikubwa, hili pia linawaumiza wengi ndani ya chama.
Kujiingiza kwenye kesi zisizokuwa za lazima na kutia hasara chama, mfano kufanya fujo gerezani kule segerea.
Kauli zisizokuwa na mipangilio mfano kauli ya mch Msigwa kusema kuwa alimsingizia kinana ujangili, anaomba radhi inamaana kuna mengi pia waliwasingizia viongozi wa serikali? Ester Bulaya kuwatumikia mabeberu n.k
Kuja na majina ya uteuzi mifukoni, ubabe wa mwenyekiti n.k
Kutokuwepo kwa Uhuru wa maoni ndani ya chama, mwenyekiti kudaiwa kuwaburuza tu wajumbe kwenye maamuzi.
Matamko wanayo yatoa hasa kwenye kipindi hiki cha Janga la Covid-19.
Hayo yote yanaweza kuwa sababu ya mpasuko wa chama kwa wale wenye nia ya mabadiliko ya kweli wanaweza kukihama chama na wala si kununuliwa kama inavodaiwa sasa.
Niwakati sasa wakukaa pamoja muyaangalie madhaifu yenu muone wapi mnakosea ili msizidi kupoteza Imani kwa watanzania.
Sidhani kama umenielewa mkuuSiasa tupu Jiwe alitenga bil 5 kila mwezi toka mwaka 2016 ili kuua upinzani, Mbowe ana mapungufu mengi ila jiwe ni kirusi hatari kwa usitawi wa democrasia TZ! Watakao baki chadema ndio wanaume na ndio watakuwa watu wa kuaminika zaidi. nguvu inayotumika ni kubwa.
Nyie endeleeni kubebwa na dola na ndio maana hata kiongozi wa CHADEMA ngazi ya mtaa/kata akitaka kuitisha mkutano anadhibitiwa na dola.Utetezi kama huu kwasasa hauna mashiko, huu sio wakati wa kushupaza shingo wakati vitu vinaonekana wazi mkuu, wanatakiwa kuchukua hatua haraka kama chama makini
Usizidishe sana ushabiki mkuu.Kila chama kina mapungufu
Hao wanawake wawadanganye wajinga wenzao
Ni tamaa zao wasilete visingizio
Ni wachumia tumbo Wabinafsi wanachowaza ni PESA period
Mwenye nia njema na nchi yupo Chadema na ACT wengine ni maslahi zaidi point blank period!
Wasitukoroge kama walivyojikoroga nyuso bana!
Ungenielewa usinge andika hivi, ukweli ni kwamba hiki chama kisipofanya marekebisho kwenye baadhi ya mambo basi tutendelea kuilalamikia dola kila siku.Nyie endeleeni kubebwa na dola na ndio maana hata kiongozi wa CHADEMA ngazi ya mtaa/kata akitaka kuitisha mkutano anadhibitiwa na dola.
Siasa za ushindani zimewashinda ila kutwa kujimwambafai!!
Pathetic creatures!!
wale wadada ni wa kuwaonea huruma sana, nafsi zinawasuta mno...body language yao inaonekana dhahili.Nimeangalia video ya hao wamama walihama leo ni dhairi hata yale walikuwa wanasoma wameandikiwa...si kwa uonga ule na kutetemeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kila chama ambacho wanapeana sumu kutaka kumua kiongozi wao?Utetezi kama huu kwasasa hauna mashiko, huu sio wakati wa kushupaza shingo wakati vitu vinaonekana wazi mkuu, wanatakiwa kuchukua hatua haraka kama chama makini
Ww akili yko ni ndgo sana Kama kweli unaamn chadema kuna shida pawepo na tume huru ya uchguzi afu huyu alyshka inchi kwa miaka mitano ya njaaa kwa watumishi uone kma atttoboa Jana naona Rc singida anawatshia watumishi kshabkia upinzan ujinga mtupu iyo n siasa brother cdm ikftika hiii inchi ttapitia wkt mgum ktkua hkuna wa kmnyooshea kidole jiwe probably atabadili katiba atawale milele am expect kwnn antumia nguvu kuufuta upinzan kias hiki.Ungenielewa usinge andika hivi, ukweli ni kwamba hiki chama kisipofanya marekebisho kwenye baadhi ya mambo basi tutendelea kuilalamikia dola kila siku.
Akkjb nishtue et cdm kuna shda wao mpk sumu wanapeana wajinga sana yaniVipi kila chama ambacho wanapeana sumu kutaka kumua kiongozi wao?