The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 461
Hukumu ya leo kuhusu matokeo ya uchaguzi Igunga imeibua vitu kadhaa kwa vyama vya siasa,hasa chadema kujifunza.
Wamekuwa wepesi sana siku zote kulalamika mahakama haitendi haki na kuwa mhimili huu wa haki unaingiliwa sana. Lakini leo wamekuwa wepesi kusema haki imetendeka-kisa wameshinda kesi.
Je,haki inatendeka tu wakishinda chadema?Na uhuru wa mahakama unakuwa umeingiliwa pale tu ccm ikishinda kesi ya uchaguzi kama kule Arusha?
Nadhani let us give the devil his due(his being a devil notwithstanding!)
Tujifunze kutokuwa wepesi kuropoka,kulaumu,kukejeli,kutunga uongo na kutukanana/kuchafuana kusiko na msingi wala tija.
Nyongeza:
Tena hili la Tundu Lisu kuwaita majaji vilaza litawacost..mnajua kitu kinaitwa judicial hunch? Ni ile hali ya jaji kuskiliza kesi na kuamua not on the basis of the facts and evidence tendered but on prior information,feelings,or opinions he holds regrding the matter..wakati mwingine tunasema jaji kawa prejudiced.
Mfano,mshawatukana majaji sana kupitia Tundu Lisu,mtashangaa Godbless Lema akishinda rufaa yake Court of Appeal,ambayo haohao majaji mlowaita vilaza wanapreside?
It is so unfortunate that Tundu Lisu is an advocate of the high court,and courts subordinate thereto.He also happens to be his partys whip in the parliamnet.I though he should know better. If anything,hitting below the belt like that just works against him.it will all be coming back to him(and chadema for that matter!)