CHADEMA huwalipa wanaoandamana

Matumizi ya "ni kweli hawalipwi wote" yabashirisha dhana ya kutaka kujitoa maana si wote yaweza kuwa hakuna hata mmoja#Ludovick
 
Chadema inaongozwa kwa fikra za kujipa moyo..yaani wanadhani watanzania wote wanna akili kama wale wabangaizaji wanaoshinda ufipa street..si rahisi kuhamasisha maandamano hewa yanayopigwa kalenda kila leo

Hakika umenena
 

Kaazi kwelikweli, jibuni hoja waungwana.
 

HURUMA kidogo basi mkuu FUSO
 
Naam Plato. Lwakatare hajawahi kusimamia ndoa yangu. na ulichosema kuhusu mchango aliotoa ni huo wa elfu 30.
 

Kama alivyotupwa yule mzee wa pesa za waarabu kule Mtera kuanzia 2005 hadi 2010 alipotupwa kama TP na dogo Lusinde??!
Tehe, siasa bwana?
 

sijaona tatizo kabisa katika hili...kama watu wana shughuli zao za kupata ridhiki wakaziacha kwa siku ile halafu wakalipwa hela ya maji ,nauli kwasabau mamndamano yanatakiwa kuanzia magomeni na mtu anaishi kimara bonyokwa...unafikiri atashiriki vipi kama hana hela ya maji au nauli au ugali....ukimpa hela mtu kama huyo sio kuwa umemlipa kuandamana.......suala la karimjee....CCM ndio walitangulia kuwaleta watoto wa primary school...waliwaleta alfajiri kujaza ukumbi....watoto hawajui hata walichofuata.....kama unversity students wa DUCE wamepewa nauli kwenda karimjee kuna tatizo gani? tuache ngonjera....ngonjera zinatosha...tuangalie maslahi ya wananchi ambayo CCM wamekubali wameshindwa kuyatumikia,wawaachie wenzao kwa muda huu....ila hawewezi kufanya hivyo kwasababu wanataka kulinda maslahi ya watoto na wajukkuu wao kama wewe.....
 
wazazi wangu hawewezi kufanana na wako,we unafanana na wazazi wako,mnaaibisha kabila lote la wagogo.

- Ningefanana na mzazi wako ningejiua maana kuzaa mtoto anayekuja JF kwa majina ya bandia kutukana watu ni mtoto mzigo U know kutoka kwa wazazi mzigo, haya turudi kwenye mada unabisha
Chadema huwa hwalipi waandamanaji? hahahahahahaha

Le Mutuz
 

- Sasa mbona mnawaponza wanavunja sheria wanapigwa tangulia wewe uone kipigo cha polisi cha kuvunja sheria,

Le Mutuz
 
Kama alivyotupwa yule mzee wa pesa za waarabu kule Mtera kuanzia 2005 hadi 2010 alipotupwa kama TP na dogo Lusinde??!
Tehe, siasa bwana?

- Una maana miaka 30 ya kugombea bila kupata dola au? hahahahahahah mnawalipa waandamanaji kumbe ndio akili yenu hiyo unaona mnaumbuka sasa, I mean Chadema wamekutumia kama ule mpira siku ya uchaguzi umeona walichokufanyia kudadeki chezeya chama cha wenyewe

Le Mutuz
 
mwalimu wa kuhongwa elfu hamsini laana ya familia ya rwakatare imekufanya uendelee kuweweseka ha ha utazikwa kiwiliwili uachwe kichwa kiliwe na mchwa wewe
 
- Ludovick toka hilo lichama limeoza hamia CCM tunakupa kugombea Urais wewe unafaa kuwa Rais sio huko kwa wahuni hao!!

Le Mutuz

Unaweza kutuambia kwa nini Baba yako hakufaa kuwa Rais ila Ludovick atafaa??!
 

Namuongelea Chigweyemisi, kwa nini alitupwa jalalani mwaka 2005 kwenye kura za ndani ya CCM na 2010 Kyle Mtera?
 
- Na mwenyekiti aliyekuwa anapokea hela kwa Mkono na Rostam, mbona hujampa maneno yake unafiki unawaua

Le Mutuz
Kuna aliyebadli jina na kuitwa Jumanne akapokea hela ya waarabu ili atinge magogoni, si anakuhusu? Kidogo mwalimu fulani arudishe kadi ya naniii! Upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…