CHADEMA hujafa hujaumbika

Kwa Lisu wizara ilifanya nini?
 
Kwa ushauri tu:
Acha kutafuta cheo kwa njia ya kujipendekeza.
 

Wakati mwingine uwe unatumia common sense! Kulalamika bila ya ushahidi siyo jambo zuri. Hata kama unaichukia hiyo Chadema na hao viongozi wake, ila kuna wakati unatakiwa kujizuia ili usionekane kituko. Mimi siyo Mwanachama wa Chadema. Lakini nilitamani uuvae uhusika kwanza kabla ya kuja kubwajaja humu.

Imagine tangu uchaguzi mkuu uishe, chama hakina ruzuku! Na hii ni baada ya wawakilishi wake kufanyiwa ukatili na serikali ya wakati huo, na huku wakishirikiana na baadhi ya vyombo vya dola! Mwenyekiti wa chama yuko ndani kwa kesi ya mchongo!

Bado unataka viongozi wajitokeze na kuutangazia umma wamechangia milioni kadhaa kumsaidia Mbunge wao wa zamani! Wamejitokeza Bawacha na huyo Malisa, hujaridhika! Au unamtaka Mbowe achangie akiwa Gerezeni?

Acha tabia za kichawi bhana! Profesa J siyo hazina ya Chadema pekee! Yule ni nembo ya Taifa zima, na hasa kwenye kuinua vipaji vya wasanii wetu! Mbona huongelei wanamuziki kujitokeza hadharani kumchangia mmoja ya waasisi wa muziki wa kizazi kipya?
 

Nasema hivi, huu ukhanithi wako wa kikabila wapeleekee makhanithi wenzio mkiwa na mabasha wenu wa kiarabu. Unaniletea kadi za wachaga za miaka dahari, kwani wakati huo uchifu ulikuwa marufuku? Hao wachaga wako advanced toka nyakati hizo, na wanaweza kutunza kumbukumbu zao. Onyesha kabila lako lilikuwa limefikia wapi wakati huo. Katafute teenegers wenzio wa chuo ndio ujadili nao huo utoto wa ukabila.
 
Wako busy na kudai katiba mpya ndiyo kipaumbele chao. Wanafurahisha kweli
 
Lissu msaliti tu hana ishu.. wewe na majuha wenzako wa Chama lofa ndio unamuona mtu waa maana ila
Watu makini wa nchi hii tunamwita dalali wa mabeberu kama unampenda kweli umfuate uko mkapakatwe wote na Amsterdam.
 
Lissu msaliti tu hana ishu.. wewe na majuha wenzako wa Chama lofa ndio unamuona mtu waa maana ila
Watu makini wa nchi hii tunamwita dalali wa mabeberu kama unampenda kweli umfuate uko mkapakatwe wote na Amsterdam.
Maza ako mwenye anatamani kuzaa na Lissu mpate mbengu nzuri kwenye ukoo wenu badala hasara aliyoipata toka kwa dingi ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…