CHADEMA hujafa hujaumbika


Sina tatizo na yoyote kuchangiwa, bali ni pale inapoonekana kuwa cdm wanawajibu wa kumtibu profesa J, hadi familia yake kujitokeza kuomba michango. Mbowe hajachangiwa chochote na serikali, wala familia yake haijajotekeza kutaka Mbowe achangiwe, na huo mchango ni wa hiyari.

Halafu huo ukhanithi wa ukabila ulioweka hapo chini, katafute makhanithi wenzio ndio uwaquote. Kisha uwatafute watu wa kabila la profesa J uwaambie wamchangie, maana wamachame wanachangiana wenyewe.
 
Chadema hawana cha kufanya , Hawapo organized, kila mmoja anafight kivyake
Hii ni kweli ukiwa nacho ndio wanakuona ukiwa huna msaada nao wanakutenga hv vyama vya upinzani kila mtu anapambana na hali yake
 
Mimi naweza nikaamini kwa sababu hatukusikia harambee zozote kuhusu kuumwa kwa Joseph H km vile anavyofanyiwa Mbowe na ile harambee ya #MboweSioGaidi mpaka T shirt walichapisha lkn suala la Joseph tumekuja kulisikia too late
 
CCM imefanya nini kwa Lowasa?
 
Mimi naweza nikaamini kwa sababu hatukusikia harambee zozote kuhusu kuumwa kwa Joseph H km vile anavyofanyiwa Mbowe na ile harambee ya #MboweSioGaidi mpaka T shirt walichapisha lkn suala la Joseph tumekuja kulisikia too late
Ulitaka wakutangazie kama nani wewe?
 
Siasa za kutumia Afya za watu kama mtaji hazitawasaidia CCM kukubalika Kwa watu. Tulio pembeni tunaona jinsi mnavyojikaanga. Hakuna tukio liliwaacha uchi kama tukio la Lissu na Kila mnachofanya Sasa hivi mnaonekana waigizaji. Mlaumuni aliyecheza muvi ya Lisu maana aliwapoteza kwenye ramani ya utu.
Suala la Prof J limetolewa Taarifa rasmi ya Chama kwenye page rasmi kwamba lengo lilikuwa mil.20 Ila wamewashukuru wachangiaji kujitoa Hadi mol.22.
 
Acha kujidanganya ww yule bedui yupo finnar
 
Chadema ni chama cha ndugu Mtei na wachaga wenzao ni saccos yenye manufaa kwao wengine wote ni wapangaji tu ndani ya chadema. Ukiwa chadema wenye Sauti na mamlaka ni wachaga mahala popote pale
 
Kwahiyo gaidi anaimaliza kesi mwenyewe bila ya kuhukumiwa?
 
Mwakibinga ni Loser tokea Udom hata sasa.. Zile harakat zako zimekukost sasa umegeuka kuwa mpiga ramli..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji871]Uhanithi huo niliouweka hapo imemaanisha mwanzo wa ubinafsi wa chadema na chimbuko lake.

[emoji871]Si ndio maana nyadhifa zote za kiwilaya mpaka taifa zimekaa kiukanda tupu.

[emoji871]Ina maana katika chadema watu wenye busara za uongozi ni wakaskazi pekee?

[emoji871]Usinilazimishe kumchinja kobe!
Mimi sio mfuasi wa matusi.

[emoji871]Mbowe hajaomba kuchangiwa kwa sababu yuko chini ya ulinzi.

[emoji871]Wanaoratibu michango ni wanachama wa chadema walioko huru,wakichangisha ili kumsaidia Mbowe.

[emoji871]Hata Profesa J,hakuomba kuchangiwa.
Bali jamii na serikali inautambua mchango wake katika nafasi yake akiwa msanii na pia mwanasiasa.

[emoji871]Hivyo ameivuta jamii kutaka kumsaidia.
Lakini chadema mnasutwa na nafsi zenu.
 
Chadema imekusanya wapi? Wakati hizo milioni 22 ni michango ya jumla ya wananchi wote ikiwepo elfu kumi yangu,na tulituma moja kwa moja kwenye namba ya simu ya mgonjwa,wewe wa wapi?
Ilikuwa organized na nani?
 
Enzi za JIWE muda huu Katibu Mkuu, Katibu wa Itikadi na uenezi, media zilizoachangisha na any one aliyeshiriki kuhusu uungwana wa kumsaidia Prof. Jay angekuwa kaonja joto la JIWE.

Leo hii CCM mnajifanya mna utu kwa wapinzani! Watu walifutwa walifyata enzi za CCM yenu chini ya JIWE kwenda kumjulia hali mpinzani.

Ya CHADEMA waachiwe CHADEMA.
 
CDM ni wahuni na ni hatari kwa taifa hili, ni wakati muafaka sasa kuwafutilia mbali kwa maslahi mapana ya Taifa! Wamezusha, wametunga, wamefitini, wamechonganisha watu. Kama haitoshi wametupia watu mabomu, wamepanga mbinu ovu juu ya nchi! Wamechafua watu kwa tuhuma za uongo, Mfano Lowassa ambaye baadaye wakamchukua awe mgombea wao wa urais, Msigwa alimchafua Kinana kwa tuhuma za uongo ikampasa amuombe msamaha hadharani! CDM is a disgrace to our beloved TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…