Hakika wanajf,mimi niko arusha hapa,kinachoendelea hapa makundi ya watu ni mengi
sana,kinachosubiriwa ni hiyo kesho patachimbika hapo mahakamani ndugu zangu,
tumechoka na huu ukiritimba wa kuburuzwa kila kukicha.lakini hatushangai kwani mfa maji haachi kutapatapa.kwanza ni aibu kwa taifa na pili ni ushujaa kwa wapinzani,sasa imeeleweka kuwa ccm ni chama cha upinzani,jana nape mwenyewe alichafua hali ya hewa kwenye mkutano wake baada ya kutafsiri alama za vidole za chadema palikuwa hapatoshi.
Angalieni sana tena sana. Amani inavurugika kwa siku moja tu. Lakini tutaitafuta kwa miaka mingi. Tutizame mifano ya nchi nyingi duniani zilivyokuwa na sasa zilivyo baada ya kuichezea AMANI. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
watanzania wanachezea amani kwa manufaa ya watu wachache masikini