Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Kundi kubwa la Wamama wa Tanzania , Ambao wengi Wana Elimu za kawaida kabisa , Wanaelewa hii Hoja ,japo ni mfano !!.
Fikiria unamwambia Mama wa Moshi huko Ndani Ndani...
Mtoto wako anatekwa, anauliwa , Rais yuko kimya , Je angekua ni mtoto wa Rais ametekwa, Rais angekaa kimya?.
Kati ya Hoja za Msingi kabisa, unazoweza kuwafanya Wanawake Akina Mama wa Kitanzania wakamkasirikia Samia zaidi ni HOJA ZINAZOGUSA HISIA ZA WANAWAKE ( AKINA MAMA).
Kuna Kitu kinaitwa "Emotional Enslavement" , hiii hutumika Kuzikamata Hisia za Mwanamke /Mwanamama na Kumfanya awe vile unavyohitaji!!.
Juzi kidogo alijaribu Rose Mayemba, Mnaona wakina Mama wakaanza kububujikwa na Machozi ya Hasira na Huzuni.... Sasa hii Ndio Emotional Enslavement!!
Ni wakati wa Kuwafanya Wanawake na Akina Mama wote Tanzania wakiamini CHADEMA kama Chama pekee kitakachokomesha UTEKAJI NA MAUAJI YA WATOTO WAO !!.