Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.
:A S thumbs_up:Hii movement inatakiwa ifike na kwetu Usangi aisee,pale ni kuchimbua na mizizi kabisa na kutupilia mbali chochote kinaitwa CCM.Ila kuna kazi ya kufanya manake kuna mapapa si utani,ukifanya mzaha wamezwa yahe.....