Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,067
inasemekana KIFO kinafanana tu ! Kwamba aliyeugua akafa ni sawa tu na aliyeliwa na Mamba au simba ama ni sawa tu na alyekufa kwa kuungua na moto ! Nimepita HEDARU mchana huu , kiukweli ni kwamba pale ccm imeteketea ! Kila UNAYEJARIBU KUMHUSISHA NA CCM ANARUKA FUTI MIA ! HIVI CCM IMEBAKI WAPI , NA JE INAKUFA KIFO GANI ? HONGERENI SANA CDM HEDARU , SOURCE NI MIMI MWENYEWE SAFARINI KUREJEA DAR .
Hakuna sehemu watakayobakia
chadema iandae wagombea makini na wanaokubalika kwaajili ya uchaguzi 2015
Mtwara, Lindi == CUF; Songea == CCM. Hawa wamegoma kubadilika au CDM mmewashindwa??
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yonana makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.nitazungukia hedaru
Afadhali ufanye hivyo,maana mazingira ya taarifa hii yaana maswali mengi ya kujiuliza!
Hedaru wanajitambua
Kuna lile kundi la 77% wanaoipenda ccm kama Simiyu Yetu [MENTION]FaizaFoxy [/MENTION] nk
Ni tofauti na makamanda wa Hedaru.
unakijua kisa cha serikali kuzuia shughuli za siasa mikoa ya kusini , kwa kisingizio cha gesi ? Cdm ni kama moto wa petrol haubakishi kitu ! Tumekaa kusini wiki 2 lakini zimeleta ukombozi wa milele. Wafungue milango tuingie waone kazi !
Nimeskia umetaja CCeM ndiyo kitu gani hicho:A S-confused1:?
Wapare waoga sana wa mabadiliko! Tutaona!!!
Wale ndugu zetu wamekuwa wateja wa CCM per se, hope wanaanza kujitambua sasa
Kwa hiyo hawa kura zao mtazipataje?
Ni jini..
cdm ni kama oxygen , hata ukifunga madirisha inapenya ! Hata hivyo shughuli za siasa kuendelea hivi punde tu .