Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,626
- 272,402
- Thread starter
-
- #21
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.
Wapare wamegoma kufanywa mtaji na mccm maana mtaji wa maccm ni ujinga na umasikini
ccm imebakia tanga na wilaya zake zote hasa huko lushoto....cjui hawa wasambaa watatoka usingizini lini jamani...inasikitisha sana...wangekua hata serious basi wachague hata wabunge wenye uelewa haohao wa ccm atleast ingewasaidia....wabunge wenyewe ni mizigo tu bungeni....
wewe unafanana kwa kiwango kikubwa na chankaka. Halafu utakuwa umechanganyikiwa kama si kurukwa na akili. Hivi kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kupita barabarani na kuwauliza watu vyama vyao?
Mimi mwenyeji wa Hedaru na nakubaliana na mleta hoja. CCM haipo Hedaru tena, na kwa jimbo la Same Magharibi, Hedaru ndo ilikuwa ngome ya CCM. Pale kazi imekwisha na mapinduzi lazima yaje mara moja ifikapo mwakani.
Tehe teheee unafikiri anasafiri na basi ka wewe?wewe unafanana kwa kiwango kikubwa na Chankaka. halafu utakuwa umechanganyikiwa kama si kurukwa na akili. hivi kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kupita barabarani na kuwauliza watu vyama vyao?
Mbunge wa hilo eneo anatokea chama gani?inasemekana KIFO kinafanana tu ! Kwamba aliyeugua akafa ni sawa tu na aliyeliwa na Mamba au simba ama ni sawa tu na alyekufa kwa kuungua na moto ! Nimepita HEDARU mchana huu , kiukweli ni kwamba pale ccm imeteketea ! Kila UNAYEJARIBU KUMHUSISHA NA CCM ANARUKA FUTI MIA ! HIVI CCM IMEBAKI WAPI , NA JE INAKUFA KIFO GANI ? HONGERENI SANA CDM HEDARU , SOURCE NI MIMI MWENYEWE SAFARINI KUREJEA DAR .
inasemekana KIFO kinafanana tu ! Kwamba aliyeugua akafa ni sawa tu na aliyeliwa na Mamba au simba ama ni sawa tu na alyekufa kwa kuungua na moto ! Nimepita HEDARU mchana huu , kiukweli ni kwamba pale ccm imeteketea ! Kila UNAYEJARIBU KUMHUSISHA NA CCM ANARUKA FUTI MIA ! HIVI CCM IMEBAKI WAPI , NA JE INAKUFA KIFO GANI ? HONGERENI SANA CDM HEDARU , SOURCE NI MIMI MWENYEWE SAFARINI KUREJEA DAR .
Chadema iandae wagombea makini na wanaokubalika kwaajili ya uchaguzi 2015
Mbunge wa hilo eneo anatokea chama gani?
inasemekana KIFO kinafanana tu ! Kwamba aliyeugua akafa ni sawa tu na aliyeliwa na Mamba au simba ama ni sawa tu na alyekufa kwa kuungua na moto ! Nimepita HEDARU mchana huu , kiukweli ni kwamba pale ccm imeteketea ! Kila UNAYEJARIBU KUMHUSISHA NA CCM ANARUKA FUTI MIA ! HIVI CCM IMEBAKI WAPI , NA JE INAKUFA KIFO GANI ? HONGERENI SANA CDM HEDARU , SOURCE NI MIMI MWENYEWE SAFARINI KUREJEA DAR .
ccm kimebaki tu kichwani mwa akina Chris Lukosi na wajinga wenzake wachache, lakini kimsingi kwa watanzania ccm tayari ipo kaburini.
tanga bado sana ......sijui nini kifanyike
Hope hata hapo jirani maeneo ya Makanya watakuwa wamepata maambukizi hayo.
Hongera zao hao wasambaa na wapare kwa ujumla wao.
Unadhani hawa watanga wanapoteza nini iwapo wanawachagua hawa hawa ccm
CCM imebakia tanga na wilaya zake zote hasa huko lushoto....cjui hawa wasambaa watatoka usingizini lini jamani...inasikitisha sana...wangekua hata serious basi wachague hata wabunge wenye uelewa haohao wa ccm atleast ingewasaidia....wabunge wenyewe ni mizigo tu bungeni....