CHADEMA haya ndio majibu yenu. Asante Rais Magufuli

Siasa za maji taka
 

Umeandika kiduchu kuonyesha utendaji kazi mzuri, sasa kila wakati wanadai JPM anatekeleza ilani ya mafisadi wa chadema, yaani kusomea degree za usanii ni hatari, maana watu wote chadema hawasemi sera ila sera ni aliyekuwa mgombea. shame on you
 
Hawana hoja zaidi ya kutapa tapa
Haahahahahhaha aseee sasa mbona anawazuia wasifanye mikutank ka hawana hoja si ajifunze kwa museveni na kenyata ndio tujue kma kuna hoja ama laah anaogopa nni

Sheria kali za mtandaoni za nni kma hakuna hoja

Kma hatuna hoja bunge live wamezima la nni

Kma hatuna hoja mbona mnafungia magazeti yenye mrengo wakipinzani kma mawio ?je kma hatuna hoja mnayafungia ya nni??
Embu nisaidie hapo kwanza
 
Mtoa maada umejitahidi kudadavuwa mambo, magu amejitahidi kiasi chake aongeze bidii na anapaswa kuangalia upya baadhi ya misimamo katika upande wa democrasia nchini hii kidogo naona kama inaleta doa kwake ila mambo mengine anajitahidi.
 
Mkuu upinzani sio uadui ni kuleta hoja mbadala kw ajili ya maslahi mapana ya taifa na wote lzma tukubaliane bila upinzani serikali italala na kusahau majukumu yake kwa hyo unayetaka upinzani upuuzwe jiulize kesho magufuli akijikwaa ni nani wa kumkumbusha majukumu yake??? Kwahyo vyama vingi umuhim wake ndio huo licha ya madhaifu utakayoyaona ila heshim uwepo wa chama mbadala

Nirudi kwenye hoja yako ya msingi
Kusema kwamba tunachokitaka akikifanya magufuli tunalalamika tena hio sio kweli sababu wazo laweza kuwa moja ila utekelezaji ukawa tofauti kwa mfano hoja ya kuinua ELIMU tanzania hawa ccm wamewekeza kwenye kuongeza madawati kwa mfano ila lowassa alitaka aomgeze QUALITY ya elimu yaani hta kma mtoto anakaa chini for instance apate elimu yenye ubora kuliko mtu akae kwenye dawati lakini anamaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika

Haya hapo kwa mfano huu huoni NIA ni moja ila utekelezaji ni tofauti??? Je wakimkosoa raisi hta kma kwei idea hyo upinzani walikuwa nayo bado ni kosa???
Kwa mfano tunataka katiba mpya ila unafiri magu akirudisha mchakato wa katiba mpya then rasimu ya chenge ndio ijadiliwe unafkiri hatutomkosoa just because eti tulotaka katiba mpya yeye kaileta kwa hyo hatuna haja ya kucriticise coz ilikuwa wazo letu pia?? HAPANA mkuu hta kma wazo letu yeye akalitekeleza ila kma utekelezaji wake ni mbovu lazma tucriticise na hyo ndo maana ya upinzani
 
Mmh ni mpinzani wakwanza kusema kweli Mungu atakulipa kwa ukweli wako.
 
Naomba kuuliza tu. Moaka sasa JPM alishafanya yote hamna jioya tena tunalotegemea. Tunaomba tu atuachiee na sisi tujijenge. Uhutu wa vyombo vya habari na mikutano ya siasa iwepo jaman.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…